Bado tu hajaanza kusafiri?

JembePoli

JF-Expert Member
Jul 14, 2015
1,324
995
Natumai mu wazima nyote,pole kwa wote mlio na matatizo hasa hasa wagonjwa na wale waliovunjiwa majumba yao mabondeni.
Hivi ni kweli mh dk JP Magufuli hajasafiri nchi yoyote tangu aukwae u kuu wa kaya?
Hata majirani zake tu hajaenda kuwapa hi!
Au Anasubiri bajeti ya mwezi wa 7.
 
Binadamu hatuna jema.
Hapo angeanza na safari mngesema naye ni kama mstaafu tu.
Kaamua aanze na mambo yetu ya ndani mnampiga vijembe!!.
 
Watanzania punguzen vijembe mwachen raic apige kaz, nje kuna nn wakati nyumban kuna kila kitu
 
inabidi baba mwanaasha azuiwe kwenda kwa Magu asije akamshafishi afanye upopoma kama ulokua anafanya yeye wa kulala Dar kuamka washington,chai shanghai,mchana london
 
Mkuu Rais kusafiri ni moja ya jukumu lake pia japo mara 1 kwa mwezi mkwere alizidi kama dozi ya maralia
 
Kwa wakati mwingine kiongozi mkubwa kama yeye inabidi tu utoke na kuona fursa nchi zingine ili kuwakwamua wananchi wako
 
Hahahahahaa mzee alikuwa mtalii yule ila kafaidi.
Zile safari zingekuwa za dili ubilionea wake ungekuwa mara 1000
 
Ila tusije kujivika unafiki bandia wa kumlaumu na mkumbuke cha kurithi huwa kinazidi!!.
 
Kwa wakati mwingine kiongozi mkubwa kama yeye inabidi tu utoke na kuona fursa nchi zingine ili kuwakwamua wananchi wako
Kusafiri atasafiri tu kwa sasa anapanga safu yake. Hata hivyo atasafiri zile safari za lazima tu nadhani! Kwa Rais tumepata. Najua siku ya kwanza akisafiri kuna wale ambao kila kitu wanapinga tutawasikia. Ila Kwa JPM yeye anachojua ni HAPA KAZI TU!
 
Natumai mu wazima nyote,pole kwa wote mlio na matatizo hasa hasa wagonjwa na wale waliovunjiwa majumba yao mabondeni.
Hivi ni kweli mh dk JP Magufuli hajasafiri nchi yoyote tangu aukwae u kuu wa kaya?
Hata majirani zake tu hajaenda kuwapa hi!
Au Anasubiri bajeti ya mwezi wa 7.
Wewe unazungumzia kusafiri nje ya nchi !!!!!!! Hajaenda mkoa wowote zaidi ya Dodoma tokea aapishwe kuwa Rais.
 
Back
Top Bottom