coolgal
Member
- Aug 13, 2019
- 58
- 75
Habari zenu wapendwa
Kuna kitu inatakiwa mjifunze wanaume msiwachukulie wanawake Kama ni viumbe wa kuwafanyia mtakavyo.
Mimi uwa na imani mwanaume ambae anweza mdanganya mtoto wa kike akamtumia akamua kwa sababu tu alitaka aonjee akihisi ni karanga
Hebu tujifikirie kitu kwani wewe ulisha lala na mwanamke utamu ukazidi masaa 24 unausikilizia Kama jibu ni hapana lazima ukojoe na hamu ikate fahamu ipate kukuludi na ujutie Kuna haja gani ya kulala na Kila mwanamke au kumdanganya mwanamke
Mimi uwa naona mwanaume ambae anatabia za aina iyo ni urimbukeni na ushamba na mwisho wao ni mbaya maana mwanamke ni mtu pekeee mwenye matatizo mengi ndomaana wengine mnachukua laaana na hamjui mlipo zipata at kanisani wanao anguka ni wanawake Sana mda mwingine mnajitakia mikosi
Mtu mwenye akili timamu ameeelewa Kuna demu mwengine ukidet nae tu wiki hupatiii pesa utatafuta mchawi uta muona

Hebu vuta pumzi mtoto wa kiume unajisikiaje mama yako angefanyiwa hayo au ungejisikiaje mkeo angefanyiwa hayo au dada zako au ndugu zako wa kike
Naimani Kama umelelewa familia zenye kheri na baraka na maadili ya dini uwezi fanya hayo na Kama umelelewa na mama tu utaelewa namaanusha nini ndomaana nawapenda mayatima wa kiume walio pata uyatima tangia mdogo au Alie lelewa na mama tu still anakua na uchungu na mwanamke
Hebu badilikeni muwe na huruma
Namaaanisha ambao sijawajibu pm wajitafakari tabia zao na wasini pm Tena
Waje wapya mie pia Nina haki ya kuishi na mtu mwenye utu daima na akili timamu
Bado jlsijapata mtu pm wazi sitaki majaribu
Mwanaume mwenye penzi la dhati ukuje

namc did Sasa nimejikaza sana