Bado sijapata mwanaume mwenye nia

Bado sijapata mwanaume mwenye nia

Habari zenu wapendwa

Kuna kitu inatakiwa mjifunze wanaume msiwachukulie wanawake Kama ni viumbe wa kuwafanyia mtakavyo.

Mimi uwa na imani mwanaume ambae anweza mdanganya mtoto wa kike akamtumia akamua kwa sababu tu alitaka aonjee akihisi ni karanga

Hebu tujifikirie kitu kwani wewe ulisha lala na mwanamke utamu ukazidi masaa 24 unausikilizia Kama jibu ni hapana lazima ukojoe na hamu ikate fahamu ipate kukuludi na ujutie Kuna haja gani ya kulala na Kila mwanamke au kumdanganya mwanamke

Mimi uwa naona mwanaume ambae anatabia za aina iyo ni urimbukeni na ushamba na mwisho wao ni mbaya maana mwanamke ni mtu pekeee mwenye matatizo mengi ndomaana wengine mnachukua laaana na hamjui mlipo zipata at kanisani wanao anguka ni wanawake Sana mda mwingine mnajitakia mikosi

Mtu mwenye akili timamu ameeelewa Kuna demu mwengine ukidet nae tu wiki hupatiii pesa utatafuta mchawi uta muona

[emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]

Hebu vuta pumzi mtoto wa kiume unajisikiaje mama yako angefanyiwa hayo au ungejisikiaje mkeo angefanyiwa hayo au dada zako au ndugu zako wa kike

Naimani Kama umelelewa familia zenye kheri na baraka na maadili ya dini uwezi fanya hayo na Kama umelelewa na mama tu utaelewa namaanusha nini ndomaana nawapenda mayatima wa kiume walio pata uyatima tangia mdogo au Alie lelewa na mama tu still anakua na uchungu na mwanamke

Hebu badilikeni muwe na huruma

Namaaanisha ambao sijawajibu pm wajitafakari tabia zao na wasini pm Tena

Waje wapya mie pia Nina haki ya kuishi na mtu mwenye utu daima na akili timamu

Bado jlsijapata mtu pm wazi sitaki majaribu

Mwanaume mwenye penzi la dhati ukuje[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji41]
Angalia pm
 
we mwanamke unacheza na akili zetu wewe, kuwa unajifanya unataka mume, watu wanakuja PM hujibu chochote: jua ya kwamba unawaharibia wenye uhitaji wa kweli, maana watakuja serious kabisa wanatfta wachumba matokeo yake watu wataanza kuwashushia matusi na kejeli tu kumbe wao wako serious na ndoa kbsa, USHAURI tunapo address issue nyeti km hii tuweni serious for the sake of the future reputation, Thank you **
 
Kama huna betri siwezi kuja PM.
Wanawake msio na bikra mnamaneno mengi.

Nyama mbichi huliwa na simba lakini mzoga huliwa na Fisi.
 
Mmhh sasa best, huon kama hao walokufata PM, umewananga hapa,

Watabadili ID wakufate upya tena na uku wameshajua Udhaifu wako???
 
Wanawake walivyojaa hivi mjini alafu eti nije PM kwako kuassesiwa.
 
Usitutishe bwana kwani tukisex unatumika peke ako si tunatumika wote

Na bado ela tunawapa mbona hutulalamiki sisi wanaume hizi ni sababu zisizozamaana unazitoa

Sasa unataka tubaki na wewe milele umekuwa ndugu yangu acha uchoyo mpo wengi kama Solomon hakuwa na mmoja Mimi naanzaje

Simba dume lenyewe linahama kwa majike mbalimbali jogoo lenyewe linapanda tetea mbalimbali halafu wewe unatupangia

We lazima nikutongoze kwa I'd nyengine nikutafune nikukimbie ndo akili itakaa sawa ngoja nitumie techniques kuwazid hao waliotangulia mm sina haraka...
 
Ukuje PM kwangu
Habari zenu wapendwa

Kuna kitu inatakiwa mjifunze wanaume msiwachukulie wanawake Kama ni viumbe wa kuwafanyia mtakavyo.

Mimi uwa na imani mwanaume ambae anweza mdanganya mtoto wa kike akamtumia akamua kwa sababu tu alitaka aonjee akihisi ni karanga

Hebu tujifikirie kitu kwani wewe ulisha lala na mwanamke utamu ukazidi masaa 24 unausikilizia Kama jibu ni hapana lazima ukojoe na hamu ikate fahamu ipate kukuludi na ujutie Kuna haja gani ya kulala na Kila mwanamke au kumdanganya mwanamke

Mimi uwa naona mwanaume ambae anatabia za aina iyo ni urimbukeni na ushamba na mwisho wao ni mbaya maana mwanamke ni mtu pekeee mwenye matatizo mengi ndomaana wengine mnachukua laaana na hamjui mlipo zipata at kanisani wanao anguka ni wanawake Sana mda mwingine mnajitakia mikosi

Mtu mwenye akili timamu ameeelewa Kuna demu mwengine ukidet nae tu wiki hupatiii pesa utatafuta mchawi uta muona

[emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]

Hebu vuta pumzi mtoto wa kiume unajisikiaje mama yako angefanyiwa hayo au ungejisikiaje mkeo angefanyiwa hayo au dada zako au ndugu zako wa kike

Naimani Kama umelelewa familia zenye kheri na baraka na maadili ya dini uwezi fanya hayo na Kama umelelewa na mama tu utaelewa namaanusha nini ndomaana nawapenda mayatima wa kiume walio pata uyatima tangia mdogo au Alie lelewa na mama tu still anakua na uchungu na mwanamke

Hebu badilikeni muwe na huruma

Namaaanisha ambao sijawajibu pm wajitafakari tabia zao na wasini pm Tena

Waje wapya mie pia Nina haki ya kuishi na mtu mwenye utu daima na akili timamu

Bado jlsijapata mtu pm wazi sitaki majaribu

Mwanaume mwenye penzi la dhati ukuje[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji41]
 
Habari zenu wapendwa

Kuna kitu inatakiwa mjifunze wanaume msiwachukulie wanawake Kama ni viumbe wa kuwafanyia mtakavyo.

Mimi uwa na imani mwanaume ambae anweza mdanganya mtoto wa kike akamtumia akamua kwa sababu tu alitaka aonjee akihisi ni karanga

Hebu tujifikirie kitu kwani wewe ulisha lala na mwanamke utamu ukazidi masaa 24 unausikilizia Kama jibu ni hapana lazima ukojoe na hamu ikate fahamu ipate kukuludi na ujutie Kuna haja gani ya kulala na Kila mwanamke au kumdanganya mwanamke

Mimi uwa naona mwanaume ambae anatabia za aina iyo ni urimbukeni na ushamba na mwisho wao ni mbaya maana mwanamke ni mtu pekeee mwenye matatizo mengi ndomaana wengine mnachukua laaana na hamjui mlipo zipata at kanisani wanao anguka ni wanawake Sana mda mwingine mnajitakia mikosi

Mtu mwenye akili timamu ameeelewa Kuna demu mwengine ukidet nae tu wiki hupatiii pesa utatafuta mchawi uta muona

[emoji856][emoji856][emoji856][emoji856]

Hebu vuta pumzi mtoto wa kiume unajisikiaje mama yako angefanyiwa hayo au ungejisikiaje mkeo angefanyiwa hayo au dada zako au ndugu zako wa kike

Naimani Kama umelelewa familia zenye kheri na baraka na maadili ya dini uwezi fanya hayo na Kama umelelewa na mama tu utaelewa namaanusha nini ndomaana nawapenda mayatima wa kiume walio pata uyatima tangia mdogo au Alie lelewa na mama tu still anakua na uchungu na mwanamke

Hebu badilikeni muwe na huruma

Namaaanisha ambao sijawajibu pm wajitafakari tabia zao na wasini pm Tena

Waje wapya mie pia Nina haki ya kuishi na mtu mwenye utu daima na akili timamu

Bado jlsijapata mtu pm wazi sitaki majaribu

Mwanaume mwenye penzi la dhati ukuje[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji41]
Pole sana mkuu,nimekuelewa.
Karibu pm,tushauriane.
 
Back
Top Bottom