Bado sijapata mume wa familia

Bado sijapata mume wa familia

Kila la heri ( mama mtarajiwa ) mungu akusaidie upate mume mwenye mapenzi ya kweli na upendo wa dhati, mtengeneze familia bora.
Endelea kumuomba mungu atakusaidia....

Nikutakie heri ya mwaka mpya 2017.
 
Nimekumithi ujue dadake
Hivi huwa unajificha wapi kaka yangu?
Sikukuu imeisha ndio nakuona, nani alikuficha?
Sio kwa kukumiss huku!!!
Adhabu yako uje ule kiporo chako, nakitunza hata hadi mwakani.
 
nazani hiyo pm yako imeshafurika mpaka inamwagika
 
Hivi huwa unajificha wapi kaka yangu?
Sikukuu imeisha ndio nakuona, nani alikuficha?
Sio kwa kukumiss huku!!!
Adhabu yako uje ule kiporo chako, nakitunza hata hadi mwakani.
oooh nisamehe dadangu, naomba ubatilishe hiyo adhabu ni kubwa sana.
Sikufichwa na mtu bali nilijificha ili kupata faragha ya kumshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufikia majira haya.
Wewe ni mzima?
 
Basi kama kweli ulijificha nabatilisha.
Namshukuru Mungu am very okey, sijui nyie huko.
 
Hakika Mungu ni mwema, sote tu wazima, twaendelea kumsihi Mungu aendelee kutupa nafasi ya kushuhudia MWAKA MWINGINE 2017.
PIA twaendelea kumwomba atupe mvua za kiasi sawa ili wakulima walime na ustawi wa jamii yetu uendelee. Nimefurahi kusikia toka kwako, wajua nakupenda dadangu [emoji8]
 
Amen na azidi kutubariki, ila nasi tukumbuke kuwa karibu nae.

Nakupenda pia my kaka[emoji8]
 
Hakika tunajisahau sana, hadi ukame utawale, mabwawa yakauke, tukose umeme, njaa ituzidi ndipo tunakumbuka kuomba.
Tujenge utaratibu wa kuwa na uhusiano na Mungu jamani tunajisahau sana
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kwani ulikuwa wapi Muda wote huo?

Yaani nyie ndo mnaogawa weeeeeeee then ikitepeta ndo mnashtuka.

Aaaäa... Anyway
 
Back
Top Bottom