Duduwasha
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 5,703
- 3,663
Mmh kumbe una dharau! Kazi ipo.. Kuwa mpole au ficha makucha yakovijana mnasumbua pia waongo bora watu wazima wenzangu
Mmh kumbe una dharau! Kazi ipo.. Kuwa mpole au ficha makucha yakovijana mnasumbua pia waongo bora watu wazima wenzangu
yaaap tujuze mkuuwanawake wa humu bhana sina hamu nao kwa niliyokutana nayo!
Ukiandika serious post utapata a serious man. Tulia, take a moment, chukua pen na karatasi jieleze vizuri then eleza mwanaume gani unaemtaka na vigezo vyake. Alafu shusha kigezo cha umri, iwe below 40.. Utampata.naitaji mwanaume wa kuanzisha familia kama nilivosema miaka yangu ni 35 elimu chuo kikuu dini mkiristo .
mume nimtakae awe mtu mzima kama miaka 40 na kuendelea dini yoyote
mawasiliano nyotanjema2017@gmail.com kwa sasa nipo mkoani nitahamia dsm mwakani ni vizuri akawepo dsm
vijana mnasumbua pia waongo bora watu wazima wenzangu
Cc: W. J. Malecela Le Akili KubwazHiyo dhan ya vijana wanasumbua umejijengea kichwan mwako au labda kwa kuwa ulikuwa na kijana akakusumbua ukahisi wote wako hivyo BUT believe me or not kuwa na umri mkubwa sio kukomaa kiakili na kifikra ila jitahidi kupata mtu aliye serious anayejielewa vinginevyo usawa huu watakuchezea sana kwa kuwa unaonyesha uhitaji sana wa ndoa
Next time usiweke number yako ya simu weka e email tu kama alivyo Fanya huyo mama hapo juuNitafute kwenye WhatsApp 0776129999 tuongee zaidi
Kwani nini?Next time usiweke number yako ya simu weka e email tu kama alivyo Fanya huyo mama hapo juu
Nipo tayariHamjambo wapendwa wa JF, habari za x-mas, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 52. Nahitaji mwenza wa kuniliwaza na kunipa faraja. Naomba masihara na utani usiwepo.
Mmh kumbe una dharau! Kazi ipo.. Kuwa mpole au ficha makucha yako
Kama haufanyi biashara usiweke humu kila mtu ana akili yake kuna watu wanaweza kuchukua no yako na wakenda kuiweka kwenye mitandao mengine ya mashoga au wanaotafuta kutiwa huko ukawa unapata usumbufu usio tarajiwaKwani nini?
anzisha uzi wako na wwHamjambo wapendwa wa JF, habari za x-mas, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 52. Nahitaji mwenza wa kuniliwaza na kunipa faraja. Naomba masihara na utani usiwepo.
Nipo hapa mchumba, Npm fasta kwa mawasiliano zaid. nipo serious.Hamjambo wapendwa wa JF, habari za x-mas, mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 52. Nahitaji mwenza wa kuniliwaza na kunipa faraja. Naomba masihara na utani usiwepo.
Nina imani ulimaanisha SeriousUko series
Kila la kheri Dadanaitaji mwanaume wa kuanzisha familia kama nilivosema miaka yangu ni 35 elimu chuo kikuu dini mkiristo .
mume nimtakae awe mtu mzima kama miaka 40 na kuendelea dini yoyote
mawasiliano nyotanjema2017@gmail.com kwa sasa nipo mkoani nitahamia dsm mwakani ni vizuri akawepo dsm
Jamiiforums....... [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nina miaka 40 lakin sio mzima vip hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasubir jibu lake