Bado Nipo

Bado Nipo

Kitambo sana sijatia magulu humu ndani mara nyingi Himidini, mwallu na Mphamvu mmeniita ila sikuitika si kwamba nimeondoka hapana ila siwafichi nilitetereka kidogo sikumaliza mwaka vizuri kiasi hata nguvu za kuingia hapa ndani sikua nazo kabisa...

Ashukuriwe Mungu ambaye siku zote hatuachi tuangamie na mpaka sasa nina nguvu na hata mnaniona nimerudi, sitaki kuwachosha sana na maneno yangu mengi ila hapa ndani siku zote pamekua pananipa raha toka nimejiunga sijawahi kujuta kuna wengine nimewahi kuonana nao na nikajisikia raha kama watu8 na [MENTION]manoah[/MENTION] hata mzabzab japo ule mpango hatukuukamilisha.

Bado Nipo na nnamis sana watu wote wa hapa ndani maana kuna wakati huwa nasoma thread nacheka hadi machozi yananitoka

Salamu kwa wote wanaonifahamu na wasionifahamu

Natamani kuua... mzabzab we need to talk.
 
Last edited by a moderator:
karibu mwaya kweli nilikumiso sana yaani mpaka nikakusahau kumbe upo vipi unaendeleaje kwa sasa bestito
karibu home jamvini tena ule matunda yote humu ndani
Kitambo sana sijatia magulu humu ndani mara nyingi Himidini, mwallu na Mphamvu mmeniita ila sikuitika si kwamba nimeondoka hapana ila siwafichi nilitetereka kidogo sikumaliza mwaka vizuri kiasi hata nguvu za kuingia hapa ndani sikua nazo kabisa...

Ashukuriwe Mungu ambaye siku zote hatuachi tuangamie na mpaka sasa nina nguvu na hata mnaniona nimerudi, sitaki kuwachosha sana na maneno yangu mengi ila hapa ndani siku zote pamekua pananipa raha toka nimejiunga sijawahi kujuta kuna wengine nimewahi kuonana nao na nikajisikia raha kama watu8 na manoah hata mzabzab japo ule mpango hatukuukamilisha.

Bado Nipo na nnamis sana watu wote wa hapa ndani maana kuna wakati huwa nasoma thread nacheka hadi machozi yananitoka

Salamu kwa wote wanaonifahamu na wasionifahamu
 
karibu mwaya kweli
nilikumiso sana yaani mpaka nikakusahau kumbe upo vipi unaendeleaje kwa
sasa bestito
karibu home jamvini tena ule matunda yote humu ndani

Asante best kwasasa niko poa Mungu anawezesha bado nipo tuliendeleze gurudumu hili la CC
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom