Rich Woman
JF-Expert Member
- Dec 18, 2012
- 867
- 558
Kitambo sana sijatia magulu humu ndani mara nyingi Himidini, mwallu na Mphamvu mmeniita ila sikuitika si kwamba nimeondoka hapana ila siwafichi nilitetereka kidogo sikumaliza mwaka vizuri kiasi hata nguvu za kuingia hapa ndani sikua nazo kabisa...
Ashukuriwe Mungu ambaye siku zote hatuachi tuangamie na mpaka sasa nina nguvu na hata mnaniona nimerudi, sitaki kuwachosha sana na maneno yangu mengi ila hapa ndani siku zote pamekua pananipa raha toka nimejiunga sijawahi kujuta kuna wengine nimewahi kuonana nao na nikajisikia raha kama watu8 na [MENTION]manoah[/MENTION] hata mzabzab japo ule mpango hatukuukamilisha.
Bado Nipo na nnamis sana watu wote wa hapa ndani maana kuna wakati huwa nasoma thread nacheka hadi machozi yananitoka
Salamu kwa wote wanaonifahamu na wasionifahamu