Mambaenock
JF-Expert Member
- Aug 7, 2013
- 427
- 107
Habari wana MMU,
Katika hali ambayo imezoeleka na vijana wengi kuhusu hatima yao katika mahusiano ya kimapenzi juu ya wenzi wao iwapo wataoana au la
moja ya jibu lililotawala kwa vijana wengi ni lile linalosema BADO NIPO NIPO KWANZA
Hali hii hii imekua ikiendelea kila mwaka ukimuuliza tena mwakani Bado nipo nipo kwanza
yupo yupo kwanza mpaka miaka 30 mwisho 40 bado yupo yupo kwanza
Wengine utasikia anakwambia NAKULA KWANZA UJANA MAISHA YENYEWE MAFUPI
so ngoja kwanza nile ujana ili nikizeeka nisihangaike.,
Swali langu kwa vijana hii maana yake nini?
Katika mahusiano ya kimapenzi .,