Bado nina imani na mapambano ya CHADEMA kupata Reforms

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,447
Reaction score
2,094
Wakuu habari,

Kwa hali inayoendelea ya Kampeni za CCM ni dhahiri bado watanzania njaa inatusumbua sana, yaani jana watu wameacha shughuli zao wanaenda kawe kungaa macho kwa Kiongozi anayeshindwa kujinadi kama mwanasiasa badale yake anatoa hotuba ya kawaida kama tayari ameteuliwa na ndiye kiongozi.

1756454951842.png

Bado wengi tunahitaji ufumbuzi wa fikra na uelewa, tunadhamira potofu sana kuiamini CCM kwa sasa
tumeona, kusikia na kusoma kwenye vyombo vya habari masuala ya kikatili na utekaji wa wanaharakati lakini jana Mgombea hajaligusia hata kidogo ni kama haelewi kinachoendelea kwenye nchi yake, juzi tu mwili umeokotwa Jangwani

CHADEMA endeleeni na mapambano nchi hii inahitaji mabadiliko na ukombozi wa kifikra yawezekana wengi hatuelewi haki zetu

1756454696494.png

Nachukizwa sana na fisiemu na huyu kibibi japo practically bado sioni NRNE ikitoboa japo naona imetoboa mioyon mwa watu ila kuitoa moyon na kuipeleka kweny practical arena kiukwel naona bado sana ila time will prove me wrong na ninaomba iwe hivyo. Amen.

Saidia fundi
 
Pole sana. Huyo ndo Samia Suluhu Hassan, anahitaji chuki zaidi za nyumbu Ili kufanikiwa zaidi.
 
Wakuu habari,

Kwa hali inayoendelea ya Kampeni za CCM ni dhahiri bado watanzania njaa inatusumbua sana, yaani jana watu wameacha shughuli zao wanaenda kawe kungaa macho kwa Kiongozi anayeshindwa kujinadi kama mwanasiasa badale yake anatoa hotuba ya kawaida kama tayari ameteuliwa na ndiye kiongozi.

Bado wengi tunahitaji ufumbuzi wa fikra na uelewa, tunadhamira potofu sana kuiamini CCM kwa sasa
tumeona, kusikia na kusoma kwenye vyombo vya habari masuala ya kikatili na utekaji wa wanaharakati lakini jana Mgombea hajaligusia hata kidogo ni kama haelewi kinachoendelea kwenye nchi yake, juzi tu mwili umeokotwa Jangwani

CHADEMA endeleeni na mapambano nchi hii inahitaji mabadiliko na ukombozi wa kifikra yawezekana wengi hatuelewi haki zetu

chadema ni chama cha wahuni hakuna mtu wa kuwachagua tumeshawajuwa sasahivi hamtudanganyi kitu mbwa nyie
 
Ukiangalia hotuba za mama unaona ameanza kujishtukia, mwanzo mzuri.

NRNE ina nguvu kuliko chama chochote, mtu yoyote ni Jambo la mda Tu
 
Huyu mama katekwa na wahuni, wala hajui chochote kinachoendelea, hana habari kabisa! hana habari yeye anapuyanga tu

#KATAA WAHUNI#
 
Pole sana. Huyo ndo Samia Suluhu Hassan, anahitaji chuki zaidi za nyumbu Ili kufanikiwa zaidi.
Hamna kitu huyo mama. Juzi nimemwambia ukweli kidgo kule X kanipablock. Mfundisheni siasa na kumwambia hakubaliki ni bora akalee wajukuu huko kizimkaz
 
Kwa yeye kufanya kazi zake hahitajiki kukubalika na nyie nyumbu 200 Bali na watanzania mamilioni kadhaa......na hao wapo tayari wanamkubali hivyo nyie nyumbu endeleeni kumchukia. Nineshasema hapo juu, mchukieni zaidi sababu ye anahitaji chuki zenu zaidi Ili ajipatie mafanikio zaidi.
 
Ukiangalia hotuba za mama unaona ameanza kujishtukia, mwanzo mzuri.

NRNE ina nguvu kuliko chama chochote, mtu yoyote ni Jambo la mda Tu
Sio anajishtukia, samia alipopata urais alikuwa na maono yake ya Tanzania anayoitaka iwe, Tanzania ya haki na demokrasia iliyo iva lakini ukimwangalia amezidiwa kete na wahuni. Kuna kitu anatamani kiwe kama rais mwanamke wa kwanza Tanzania. Wahuni wamevuruga maono yake kwa kumtisha na bahati mbaya uwezo wa kusimama firm kama Magreth Thatcher hana kwahiyo amebaki kucheza na mapigo ya mwangwi wa muziki kutoka kwenye spika badala ya muziki unaotoka kwenye spika moja kwa moja.
 
chadema ni chama cha wahuni hakuna mtu wa kuwachagua tumeshawajuwa sasahivi hamtudanganyi kitu mbwa nyie
Hata hivyo machawa wapumbavu mnaenda mnapungua subiri tarehe 26 Oktoba utaamini ninachokisema.
 
Silencing the truth to keep peace is not peace, it's quiet suffering. Watu wanajazana kwenda kushangaa wasanii, ila mioyoni wanaugua. Taifa limevimba
 
Back
Top Bottom