Adrian2716
Member
- Oct 23, 2023
- 98
- 290
Kama kuna mtu ana kazi popote nchini naomba aniunganishe tafadhali, nina uhitaji sana, siwezi kueleza hapa, hata internship pia wakuu nafanya lakini iwe mkoa wa Arusha hata kwa buku ya nauli tu, hamna shida.
Mawasiliano yangu ni adrianadrian2716@gmail.com
Mawasiliano yangu ni adrianadrian2716@gmail.com