Bado natafuta kazi ama intern wakuu, nina degree ya accounting and finance

Jiunge na Taesa kaka. Ingia kwa portal yao jaza kila kitu, omba na interview watakuita, ukipass utapangiwa intern kama zipo!
 
Niliomba mkuu ila kipindi hicho nilikuwa na elimu ya diploma, nilifanya training na interview nikapata 76 ila hawajawahi kuniita nilipoenda ku upload cheti cha degree wamesema haiwezekani
 
Okay....may be mpaka uwasumbue mara kwa mara ili zikitokea nafasi wakupangie, maana kesi kama yako nimekutana nayo kwa wadau wengi tu na kuna mmoja kipindi naenda kwenye usahili pale nilimkuta amekuja kufatilia changamoto kama yako. Ila kuna watu kama wanne nawafahamu walipata intern pale na wote niliwaombea ndio maana nikashauri hivyo pia.
Enewei all the best mkuu, usisahau kusali pia
 
hivi diploma wanapataga intern kweli?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom