Bado natafakari hii kauli ya mkuu wa kaya.!

Bado natafakari hii kauli ya mkuu wa kaya.!

Huu utawala wa Magufuli mwisho wa siku unaweza kumsababishia maafui wengi. Mmojawapo mkwer. Anajifanyavkutabasam na kumuunga mkono Magu lakini rohoni anasema mwache tu mbio za sakafuni! Hajaijua nchi bado
 
Wa Msoga!!hapana Labda kina Membe. pamoja na watu kuona Mkuu wa kaya anasimamia kwa yale anayoyaamini kuna Mipaka kwa kila kitu,TIME WILL TELL.

Membe alikuwa anatimiza wajibu wake kulingana na nature ya kazi yake
 
Akifungua bunge la 11 mh. Pombe, kwa macho na maskio yangu nilisikia akisema hv, nanukuu, "Kuna watu hapa, wamesafiri nje mara nyingi kuliko safari ya kwenda kuwaona mama zao na baba zao kijijini" sasa najiuliza hivi pale alikusudia kufikisha ujumbe kwa nani?? najiuliza tu wakuu
Ningekuwa mm ningeinuka
 
Hembu Tukae Tufikirie Mambo Ya Msingi,kuliko kukaa Kuuliza Upumbavu Et Hii Kauli Ya Magufuli Ilimlenga Nani....Hivi Kila Mtu Akija Akitoa Kauli Zake Na Kuuliza Hii Kauli Ilimlenga Nani,hivi Tutafika Kweli??
 
Membe alisema,na nanukuu "tulikuwa tunagongana hewani utadhani nyumbani kunawaka moto."Kwa maneno haya it could be anybody.Wapo wengi waliosafiri sana kwenye serikali ya Mkwere kwa kuwa hapakuwa na udhibiti mzuri.Na kumbuka amesema "hapa,"akimaanisha watu waliokuwepo bungeni wakati anahutubia.Let us not be shortsighted.

Ndiyo maana kila mwaka bajeti ilikua inapanda na deni la taifa linaongezeka, ingawa kusafiri hakutaepukika lakini mfano aliotoa wa kupunguza idadi ya wanokwenda safari italeta tija.
 
Hembu Tukae Tufikirie Mambo Ya Msingi,kuliko kukaa Kuuliza Upumbavu Et Hii Kauli Ya Magufuli Ilimlenga Nani....Hivi Kila Mtu Akija Akitoa Kauli Zake Na Kuuliza Hii Kauli Ilimlenga Nani,hivi Tutafika Kweli??

Hilo la kuokoa haya mabilioni za safari za kishenzi sio la maana ?? Ama kweli wafuasi wa ccm ni ma nyumbu
 
Hilo la kuokoa haya mabilioni za safari za kishenzi sio la maana ?? Ama kweli wafuasi wa ccm ni ma nyumbu

sijasema hilo si la muhimu ila kukaaa na kudiscuss kauli iliyotolewa eti imeenda kwanani huo ni upumbavu.....sasa ukishajua alimwambia nani wewe utafanya nini???tuwe tunadiscuss kauli zenye msingi wa kujenga sio kauli kama hizi et nani kasema nini na kwanani.........
 
Kwa mafisadi miccm!!!! Wataisoma namba awamu hii!!!!!

Back
Top Bottom