mululu
JF-Expert Member
- Nov 7, 2014
- 756
- 408
Akifungua bunge la 11 mh. Pombe, kwa macho na maskio yangu nilisikia akisema hv, nanukuu, "Kuna watu hapa, wamesafiri nje mara nyingi kuliko safari ya kwenda kuwaona mama zao na baba zao kijijini" sasa najiuliza hivi pale alikusudia kufikisha ujumbe kwa nani?? najiuliza tu wakuu