Habar wana jf naomben ushauri wenu.nilikuwa na mpenz wangu ambaye tuliachana mwaka jana.tangu nimeachana nae cjawah penda mwanaume mwingine kama ninavyompenda yeye.sasa juzi nilimuomba kuonanana nae akakubal akanihahdi this wkend angenitafuta.kiukwel bado nampenda naomba mnishauri nifanyeje arud kwangu.na nikionana nae maneno gan mazur nimwambie ambayo yatakuwa mazuri ambayo yatapelekea akubali kurud kwangu?