mnyepe
JF-Expert Member
- Dec 1, 2008
- 1,907
- 661
Ukichaa ni kufanya jambo lile lile nmna ile ile n kutegemea matokeo tafauti. It is the same as dating your ex.
You're right to some extent but it is also not bad to fight for your love
Ukichaa ni kufanya jambo lile lile nmna ile ile n kutegemea matokeo tafauti. It is the same as dating your ex.
haa mapenzi gani hayo ya kuficha hisia..
Mleta mada ukikutana nae usirembe..mrukie kamata mike peleka mdomoni anza kuflow...mwenyewe atajuta kukuacha..
Asanten sana wakuu kwa ushauri wenu.asanten jaman.leo ndio naenda kuonana nae wakuu
Tunasubiri feedback, nakuombea ukafanikiwe hitaji lako.
Guess nini kitatokea?
Yesuu na maria!!
Kama tungalijua kesho itakuwaje tungesimama kidete na maamuzi.maana matokeo ya leo yanatokana na maamuzi ya jana.ndipo tuone na jinsi ilivyo vyema kuvumilia bila kikomo.kuna mtu alikuwa anapasua jiwe akagonga nyundo 99 uvumilivu ukamshinda akaacha akaja mmoja akapiga nyundo 1 tu jiwe likapasuka.wakati zilipokujilia hisia za kuachana nae haukujua nini kingefuata kumbe bado ulikuwa unampenda ila uvumilivu ulikupaa.lakin wakati huu ndio unaona kuwa ulimpenda,chakufanya kiri kosa mbele yake mueleze kinagaubaga kuwa unampenda kwa kiasi gani,muombe kwa unyenyekevu akupende tena,lakin wakati huo ukiwa umemtanguliza Mungu hakika utafanikiwa Mungu akusaidie dada yangu.
unashangaa nini tene wewe bibie..!!!!!!!!!?
Habar wana jf naomben ushauri wenu.nilikuwa na mpenz wangu ambaye tuliachana mwaka jana.tangu nimeachana nae cjawah penda mwanaume mwingine kama ninavyompenda yeye.sasa juzi nilimuomba kuonanana nae akakubal akanihahdi this wkend angenitafuta.kiukwel bado nampenda naomba mnishauri nifanyeje arud kwangu.na nikionana nae maneno gan mazur nimwambie ambayo yatakuwa mazuri ambayo yatapelekea akubali kurud kwangu?