Bado nampenda nataman arud kwangu

dtf

Senior Member
Oct 7, 2013
121
12
Habar wana jf naomben ushauri wenu.nilikuwa na mpenz wangu ambaye tuliachana mwaka jana.tangu nimeachana nae cjawah penda mwanaume mwingine kama ninavyompenda yeye.sasa juzi nilimuomba kuonanana nae akakubal akanihahdi this wkend angenitafuta.kiukwel bado nampenda naomba mnishauri nifanyeje arud kwangu.na nikionana nae maneno gan mazur nimwambie ambayo yatakuwa mazuri ambayo yatapelekea akubali kurud kwangu?
 
Ni wanaume wachache sana wanaokataaga "nyapu" za bure kiasi kwamba existence yao inakuwa ni negligible.

Kama wewe ndiye uliyezingua "atakugonga" huku anaendelea na mtu wake aliye naye sasa hivi kama kawaida.
 
talking as if u av experienc on dat woohh!!!!
 
Kwa kweli cha msingi hapo ni kuthibitisha kama bado anakupenda,kama sio utanyanyasika zaidi. Ondoa mawazo kwake,utampata wa kufanana naye.
 
Mleta mada hapendwi angekuwa anapendwa angetafutwa tokea mwaka jana.
Hapo atapigwa p.mbu akitulize
Kwa kweli cha msingi hapo ni kuthibitisha kama bado anakupenda,kama sio utanyanyasika zaidi. Ondoa mawazo kwake,utampata wa kufanana naye.
 
Inaonesha jinsi gani ulivyomshiba, dah! Napenda sana wanawake kama wew ambao japo tumeachana lkn bado anakukumbuka, lkn sio wale tumeachana jana kesho kafuta namba ukimpgia tu, eti! Nani mwenzangu?? Sasa najiuliza kweli hunijui?? Ama kiburi??
 
Ukikutana nae usiwe msemaji sana na mashauzi upunguze toka kawaida sana. Jitahidi kumsikiliza kwa makini na umjibu kwa ufasaha. Ongea yanayowahusu nyie wawili tu. Mwisho msifie alivyo handsome and tell him that unataka kuwa naye tena.
 
mi napendekeza maeneo kama ya beach ambapo kuna utulivu.nenda ongea nae mwambie hisia zako msikilize anasemaje.kama ana mtu wake mwache usilazimishe mapenzi.jifuze kumsahau.
 
Ukikutana nae usiwe msemaji sana na mashauzi upunguze toka kawaida sana. Jitahidi kumsikiliza kwa makini na umjibu kwa ufasaha. Ongea yanayowahusu nyie wawili tu. Mwisho msifie alivyo handsome and tell him that unataka kuwa naye tena.

sifa atoe ila aangalie asije akapitiliza maana ataona huyu ananitaka ndo ananisifia ila take this note ya MAMNDENYI
 
Sema naye!!

Mwambie mzike tofauti zenu then muanzie pale mlipoishia.

Kama mwenye kosa ulikuwa wewe, muombe msamaha na kama ni yeye mwambie umemsamehe.

Ndivyo hata MUNGU anavyonda watu wapendane na wasameheane.
Yeah. Amwambie ukweli tuuu. If in any case it doesnt work out then akubali matokeo asonge mbele.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom