king zillar
Member
- Jan 14, 2015
- 27
- 5
Habari wanajamvi.
Hii ni mara ya kwanza kuleta uzi humu mara nyingi hua msomaji tu thread za wenzangu.Nisiwachoshe wadungu by the way nilikua na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana ikawa zaidi ya wapenzi.
Tuliishi pa1 sikuwahi kuwaza kua ipo siku tutatengana but baada ya kutengana kwa mda mrefu kidogo nilikuja kumfumania na mwanaume mwingne nikaamua kumpiga chini ingawa aliniomba sorry, now nina mpenzi mwngine ni mzuri kuliko hata yeye na mcha Mungu.
Tatizo bado nammiss huyu mpenzi wangu wa zamani hata yeye hunambia kua bado ananipenda na anakumbuka maisha tuloish nae ingawa now yuko na mwanaume niliyemfuma nae ofcause nahisi bado kumpenda.
Msaada plese.