miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
ndiyo...
miss chagga ngoja mi takutafuta unishauri lakini sitaki hapa mtanindiyo...
miss chagga ngoja mi takutafuta unishauri lakini sitaki hapa mtani
mimi siazimwi bure mtanilipa?
miss chagga ngoja mi takutafuta unishauri lakini sitaki hapa mtani
Naanza mimi kuvunja hiyo rekodi, nakuazima bure na bado lunch utanigharamia, utaenda kujutia kunifahamu ukifika kwako. ha haa haa!!
Apologise lady wengine tumeumbwa na haya na soni tunapenda faraghani kuliko upenuni
labda usije na pochi yako .. nitakuibia hata simu ilipe gharama
hakunaga maneno matamu ukishaanza kutamka maeneno yanayoendana na pesa hapo hadi masikio huziba automatic labda hasa upande wa kutumia zangu.. ila ukiongelea kutumia zako masikio yangu huwa sikivu mnoooo ujue jinsi Mungu wa ajabuWala hutakumbuka hilo, nitatumia maneno matamuuuu kama anayokuimbia shemeji hadi unampa mshahara wako woteeeeeee, mwenyewe utaomba poo.
:shocked: mengine haya, ushauri wa chemba hauruhusiwi.
eeh anakuja na hela
eeh anakuja na hela
mshana jr jamani huyu mrembo umemfanyaje .. nilipe tu ya kunipotezea mudaMkienda huko chemba kushauriana iwe kwa hela au mkopo, naandama peke yangu toka chalinze hadi magogoni.
mshana jr anajua alichokifanya kwangu yeye na Asprin na Honey Faith
mshana jr jamani huyu mrembo umemfanyaje .. nilipe tu ya kunipotezea muda
Mkienda huko chemba kushauriana iwe kwa hela au mkopo, naandama peke yangu toka chalinze hadi magogoni.
mshana jr anajua alichokifanya kwangu yeye na Asprin na Honey Faith
Wallah Apologise girl unanionea Honey Faith ni shahidi
Kwa haraka naona cheni ya maambukizi kwa watu 4.
soln
boy friend wa zamani +girl friend mpya,+ girl friend wazamani + boyfriend mpya,
bf wazamani & gf wazamani +gf mpya & bf mpya=????????????.
nimejaribu kufanya simple calculation jibu atamalizia.