Bado nampenda msichana wa zamani

Bado nampenda msichana wa zamani

Mkienda huko chemba kushauriana iwe kwa hela au mkopo, naandama peke yangu toka chalinze hadi magogoni.
mshana jr anajua alichokifanya kwangu yeye na Asprin na Honey Faith

Tumalizane kwanza ndo ulete umbea wako hapa....
 
Tumalizane kwanza ndo ulete umbea wako hapa....

Ha haa haa!! umefika kumuokoa mshana jr kijasho kilimtoka mwenzio. mimi bado nipo pm na partner, kwa hiyo acha usumbufu, nishakutajia wanaohitaji tiba zako zilizo expire. ha haaa haa!!!!!

1415187376954.jpg
 
Hahahahaaaa kanifananisha kabisa nakuapia mi sitaki bifu kabisa na kile kibabu nilichofanya mimi ni kumtahadharisha kuwa vibabu vinakuwa na tendency ya kuugua tezi dume

ha ha ha ha hahahha aisee basi embu ngoja
 
Hapo kukumbushia game ndio kilichobaki. Mkirudiana kuna uwezekano mmoja wenu akamsaliti mwenzake pia.
 
Hakuna mambo muhimu na bora kwa mwanadamu kama kujitambua, kujiheshimu na kujithamini
 
Hao ndio aina ya wanawake tulio nao kwa nyakati hizi..wengi wao hawajui wanataka nini kwa mwanaume...
Hawapendeki wala hawabebeki yaani wapo wapo tu kwa kuwa wanapumua tu...
 
Fanya fasta.... Hata kama uko na utafiti, ntajua cha kufanya.


attachment.php

Yaani hapa nakimbia hadi basi,sitaki kuchezea nafasi hii, huyo utafiti nimemuacha hukooooo, kwanza sitaki hata kumsikia tena, baby si unajua anatoka na @miss neddy mi simtaki tenaaaaaa, kwanza bahili.
 
Yaani hapa nakimbia hadi basi,sitaki kuchezea nafasi hii, huyo utafiti nimemuacha hukooooo, kwanza sitaki hata kumsikia tena, baby si unajua anatoka na [B miss neddy [/B]mi simtaki tenaaaaaa, kwanza bahili.

Huyo miss neddy mwenyewe haelewekieleweki... Kijana ana tabu sana huyu

attachment.php



Hebu njoo fasta nikakufanyie shopping laaziz wangu

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom