Bado miezi miwili mwaka 2019 uishe

Kwenye kuoa wala hata sina ratiba nalo kwa sasa, baada ya miaka 4 kuanzia huu nitaoa. Biz kwanza
ha ha ha mkuu kinachokufanya uoe ni umri au baada ya kupata mafanikio fulani
 
Aiseee juzi juzi hapa ilikua January ,siku zinaenda kasi sana ,vipi wewe ushauaga ubachela? Kama bado njoo tuuage wote unbalanced Equation(joke)[emoji1]
Ndo us has emailed hakuna joke mwana dada umeshasema Kinachofanyika utekelezaji
 
Mwaka ulianza vizuri, most plans went really well, hapa katikati mambo yamebadilika sana, mother nature, people you highly trusted ndio wanakuangusha hadi ushindwe kufikia malengo yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…