Bado miezi miwili mwaka 2019 uishe

Anha ndio pale mti wemye matunda mazuri ambapo ukinyoosha unakuta wakaka
Ha ha ha ha, hapo hapo utamkuta mkaka mmoja ananywele fupi,tshirt nyeupe na suruali ya jinsi(blue)....ukifika umwambie "Mungu amesikia kilio changu"
 
Huyo mkaka si ndio nakuta anacheka huku anaangalia upande huu?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mimi naendelea kumuomba Mungu amuwezeshe my future better half achukue hatua na Mungu ampe ujasiri tu...akizidi kuchelewa tusilaumiane
 
ha ha ha mbona unamikwara mizito mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…