Bado Magufuli hujagusa hapa

Bado Magufuli hujagusa hapa

Hyo ya mashine za EFD aisee wanatuumiza sana Acha tu...na kwenye kukadilia kodi wanakukomalia utadhani unafanya nao biashara wanajua unapata kiasi gani...

Yani haijakaa poa sana
 
Kumbe umeligundua ilo
 
Ingawa una madeni ya kurudisha pesa kwa wateja wako ambao mizigo yao hujawapatia baada ya kukulipa

Una point kwenye hayo mengine haswa mambo ya kodi na hizo mashine ni kweli wangewapa watu nafasi ya kuzilipia kwa kiasi fulani kila mwezi.. na waangalie mtu abiashara ikifa kabla hajamaliza malipo basi aweze kuirudisha na mwingine apewe.. ( hizo mashine sijui t&c zake tho.. labda ingesaidia wengi kuelewa)

Namba moja ndio hiyo nafikiri umekosea kosea nafikiri ukitaka kueleweka kiundani ongezea nondo hapo..

Lingine kubwa sana sana serikali iweke info muhimu kwenye mitandao yao hizi ni zama za karne ya teknolojia.
 
Hapo namba moja.mfano.kuna wanafunzi.wamechaguliwa IFM, LAkini hawajapata majina ya mkopo.chuo.kimesema wafungue na kufanya usajili.lazima.kulipa 1,050,000 fuatilia uone
 
Usiombe ujambe kwenye daladala alafu watu wanajua utaomba poo.Kila mtu atasema ndiyo wewe teh teh nawaza tuu.
 
Mufuate uko.uko hapa.tunaongea.mambo.mengine.tusichanganye.madesa, haha.inaonekana.kuna.jambo.unalitafta
Kwa mantiki hiyo badili signature yako. Aidha ukiwa mwongo jaribu kupunguza mdomo. Huwezi kuwaibia watu ukawajibu shombo. Ningekuwa wewe ningeacha hata kucomment hapa JF. Huna adabu unaaibisha tu angalia hata hii Kevin Isaya nilipe pesa zangu , kama vile bado ona hii Kelvin Isaya kwa utapeli uliofanyia watu lazima tukutafute baada ya hii Mjue Kelvin Isaya Tapeli wa Mitandaoni hivi wewe ni mtu wa namna gani huna haya au soni? CC Miss Natafuta
 
Back
Top Bottom