Bado Magufuli hujagusa hapa

Bado Magufuli hujagusa hapa

Sema mengine lakini si maswala yanayohusiana na kuongeza pato la serikali
 
Kwa mantiki hiyo badili signature yako. Aidha ukiwa mwongo jaribu kupunguza mdomo. Huwezi kuwaibia watu ukawajibu shombo. Ningekuwa wewe ningeacha hata kucomment hapa JF. Huna adabu unaaibisha tu angalia hata hii Kevin Isaya nilipe pesa zangu , kama vile bado ona hii Kelvin Isaya kwa utapeli uliofanyia watu lazima tukutafute baada ya hii Mjue Kelvin Isaya Tapeli wa Mitandaoni hivi wewe ni mtu wa namna gani huna haya au soni? CC Miss Natafuta
Kuna Uzi pia Mose kaandika kashalipwa pesa zake nahisi ungeuunganisha pia
 
Back
Top Bottom