Bado kuna mtu anaamini 29 Sep kuna uchaguzi?

Bado kuna mtu anaamini 29 Sep kuna uchaguzi?

Ni October mkuu uchaguzi upo bila shaka yeyote nasi tutatiki, hatuwezi susa kula et kisa kuna mtoto mmoja kasusa kula, nakaribisha matusi coz hamna hoja zaid ya matusi.
 
Uchaguzi haupo. Bibi kizimkazi kwnuna tangu jana hapokei simu za CDF.
Msikilize mzee wako ameshiba ugali wa mtama nongea
 
Yani humu tuu
Screenshot_20251005-175138.png
 
Msikilize mzee wako ameshiba ugali wa mtama nongea
Huyu mzee asitutafutie laana tumwite boya bure.... hakuna jeshi linalobaki static kwamba halifanyi mabadiliko yaani unategemea Jeshi likae miaka 50 bila kufanya mabadiliko hata ya mavazi, texture etc...
 
Nimemshangaa sana. Dakika za jioni anataka kuchana mkeka
 
Septemba hapakuwa na uchaguzi, October uchaguzi upo ila inawahusu wale wapumbavu tuu na bahati mbaya wana nguvu mno.
 
Mlevi mwingine kakurupuka usingizi. Anajua uchaguzi ni 29 September. Hawa wavimba macho hawana aibu.
 
Back
Top Bottom