Hili swala linafikirisha, Chama ambacho kina ofisi kila mkoa, imekuwaje wanaenda kujilundika kwenye hema namna Ile, na Nchimbi yupo wapi mbona amekuwa mtoro wa vikao?