Umuzukuru
JF-Expert Member
- May 30, 2019
- 624
- 561
Habari wakuu wa jf
Katika pita pita zangu huko na huku nimekutana na content fupi ikielezea kuhusu marketing hasa kwa upande wa wasanii Wanaojitafuta
Kuna vitu kwa uchache tu vimeeoezwa na miongoni mwa vitu hivyo ni CONNECTION
Sasa je hizo connection mtu unapata wapi na kwa sasa Kuna hii issue ya cycle yaani watu kujitenga kutokana aidha status ya kiuchumi
Watu haohao ndio wenye connection na kuingia kwenye cycle kama hizo sio jambo rahisi kabisa maana utaachwa tu ns speed ya aina ya maisha utakayoyakuta hapo🤔🤔
ndio kusema juhudi tu hazitoshi... Sasa tunafanyaje
View: https://youtu.be/VK7hmI2f0nM?si=llacND976UlR3kLR