Bado, gharama za harusi jamani, tafadhali

Mi nakushauri hizo suti za watoto wasimamizi toa ubaki na mmoja na hapo ukienda kariakoo unapata kwa bei yako hiyo ya 25000.

Asante kwa ushauri, hii ni page yangu, nitarejea mara kwa mara ninapoendelea kutekeleza hili.
 
mnasingizia mungu atakusaidieje wewe unaendelea kutumbua hela

Dah ni ngumu kweli kweli, sio kutumbua ndugu yangu, ndio maana najaribu kubana namna hiyo ingawa inakuwa si rahisi, wacha niwe jamii kwa kiasi kidogo kinachowezekana, ndugu hawajataka kuelewa kabisa vinginevyo.
 
Wakuu naondoka kwa sasa nitarudi baadae asanteni kwa kunishauri, nitawapa taarifa mpaka ya sherehe yenyewe nafahamu kuna watu watapata nafasi ya kuona hili na kufanya lolote linalofanana au kuzidi au kupungua pale nitakapofikia katika shughuli zao. Asante
 
Fanya Ndoa ya Serikali, Sherehe Fanya ya Wanawake watupu kama Wazanzibar wa Ulaya "WANAUME WANAKULA SANA WATAKUTIA SHOTI"
 
Slay Queen gani atakayekubali kuolewa bar? Labda shemeji awe sio hawa waliopita IFM, UDSM, CBE au ARDHI.
 
Last week nimesimamia Ndoa ya dogo! Mpk tunamaliza shughuli na kurudi kwake na mke wake! Budget ni 1.4 m! Vyakula pilau na wali! Wapishi akina mama majirani! Vinywaji Maji! Hakuna ukumbi, tulifunga maturubai home!
 
Hio ndoa itakuwa ya kiislamu tu. Huwa hazina gharama sana shida ni kwa hawa wagalatia
 
Last week nimesimamia Ndoa ya dogo! Mpk tunamaliza shughuli na kurudi kwake na mke wake! Budget ni 1.4 m! Vyakula pilau na wali! Wapishi akina mama majirani! Vinywaji Maji! Hakuna ukumbi, tulifunga maturubai home!

Na hapo wataishi kwa Amani zote
 
Utakuta anafunga ndoa ya kulazimishwa na manzi .
 
Shampeni nunua zile za elfu 20, gari ya bwana arusi tafuta ndugu au rafiki mwenye gari maana si unalihitaji kwenda kanisani au sehemu ya ndoa tu. matron na best man wajinunulie nguo wenyewe...

Wajinununlie vipi wakati uliwaomba mwenyewe? Yani uwaingize gharama kizembe
 
Namba 7 umechapia, Ni 100k sio 50k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…