Bado daku hapa

Bado daku hapa

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,255
hii ni futali tu
 
Attachments

  • 1435248893639.jpg
    1435248893639.jpg
    25.2 KB · Views: 1,316
Tupo vizuri
 
Attachments

  • 1435251534421.jpg
    1435251534421.jpg
    15.8 KB · Views: 845
Hakuna Kitu Kinachoitwa Kufunga.Ila Nikubadilisha Masaa Ya Kula Tu.Apo Hawajaongezea Na Daku La Sa10 Alfajir.Halafu Ukikutana Nao Kesho Mchana Wanakwambia Eti Wameshinda Na Njaa Siku Nzima Wakati Kumbe Wanabeua Lundo La Mavyakula Waliyohifadhi Tumboni Usiku Kucha.Hawa Jamaa The Comedy Sana Duh!
 
Kwani we definition ya kufunga kwako ni nn? Unataka iweje?
Ndivyo walivyoambiwa usiku wale na mchana wasile ulitaka wafanyeje?
 
Nilikua Nataka Wasiite "Mfungo Wa Rama" Badala Yake Waite "Mbadilisho Wa Masaa Ya Kula Wa Rama".Ingeleta Maana Halisi Ya Kile Kinachofanyika.
 
tafuta dini yako halafu uite majina unayoyataka, hii uliyoikuta itakuumiza kichwa bure
 
Wewe Unaijui Dini Kichwa Maji Mkubwa We?!.Hiyo Imani Yako Ya Juzuu30 Ni Samari Tu Ya Hadithi Tamu Zilizolembwa Ili Kukuvutia.Ila Uchafu Na Ushenzi Ulio Ndani Yake Wewe Huwezi Kuelezwa Wala Kuujua Ht Robo Yk.Wewe Na Hiyo Ngozi Yako Ya Kaniki Unaabudu Kivuli Tu Cha Dini Na Sio Dini Yenyewe.Waachie Wenye Dini Waongee.Kujua Kubong'oa Sio Kujua Dini Kiazi We!
 
DOGofGOD mbona unabweka sana ndugu umeona muharifu!!?
 
Wewe Unaijui Dini Kichwa Maji Mkubwa We?!.Hiyo Imani Yako Ya Juzuu30 Ni Samari Tu Ya Hadithi Tamu Zilizolembwa Ili Kukuvutia.Ila Uchafu Na Ushenzi Ulio Ndani Yake Wewe Huwezi Kuelezwa Wala Kuujua Ht Robo Yk.Wewe Na Hiyo Ngozi Yako Ya Kaniki Unaabudu Kivuli Tu Cha Dini Na Sio Dini Yenyewe.Waachie Wenye Dini Waongee.Kujua Kubong'oa Sio Kujua Dini Kiazi We!

wewe kweli Mbwa.
 
Mbona unabwatuka kijana, kumbe ulikua na yako moyoni. Tabu sana uliyonayo. Wenye dini yao wanaita kufunga, wewe unalazimisha kubadilisha ratiba ya kula. Hilo ni mojawapo tu kati ya mambo ya mfungo. Km ulikua hujui, hata walio na ndoa hawaruhusiwi kugegedana mchana pia.
Mfungo sio lazima uwe unavyotaka au kujua wewe. Wewe huna mchango wowote ktk dini yao. Waachie wenyewe. Nawe ukifika mfungo wako, fungo unavyojua. Marabuku.
 
Wapo wa TZ namna hii maana sisi wengine tukipata asubuhi mchana majaaliwa tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom