meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,394
- 4,748
Hii kitu inaitwa bohari ya madawa aka MSD bado ni jipu lililowiva na halijatumbuliwa hata kidogo.
Nasema hivi kwa kuwa MSD ndio wahusika wa kusambaza au kuuzia dawa hospitali,vituo vya afya na zahanati vya umma.
Toka Magufuli ameingia madarakani bado MSD haijaweza kupeleka madawa na vifaa tiba vya kutosha katika vituo husika...huu ni ukweli mchungu.
Uanzishwaji wa maduka ya MSD kwenye taasisi kama muhimbili na hospitali za mikoa bado sio suluhisho katika upatikanaji wa dawa kwani hayo maduka ni empty kama zilivyo bohari za kanda.
Kwa anayetaka ushuhuda aende akaulizie juu ya upatikanaji wa dawa muhimu na zinazotumika kwa wingi vituoni mfano antibiotics na vifaa tiba kama gloves au POP na kadhalika.
Utaona mbwembwe nyiingi wakati wanazunguka na magari yao kwenye vituo kugawa dawa na vifaa tiba lakini ukifungua maboksi waliyoleta unaweza kulia...ni vitu vinavyokaribia kuisha muda au visivyohitajika na vituo.
Sijaelewa au nasita kuamini kuwa MSD hawana fedha yakununua hayo madawa au vifaa tiba...nadhani ni issue ya priority tu.
Madhila ya MSD yanawaacha wananchi wakishusha hasira zao dhidi yawatoa huduma...wananchi wanaaminishwa dawa zimeletwakumbe ni hewa tu!!
Ni muda wa Jipu hili kutumbuliwa.
kwa kupewa fedha au zaidi kwa kuwekewa mshindani.