Bado anautesa moyo wangu huyu JF memba...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bado anautesa moyo wangu huyu JF memba......

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Egyps-women, May 3, 2012.

 1. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani kama mnakumbuka ule uzi wangu wa yule mwana JF anayenikosesha usingizi..Nawaza sijui ni mganga yupi niende........,Eti kanambia ooh nimeoa pls dont follow follow me .....Nikamwambia naomba ka busu ka mbali baada ya hapo sikujui tena...Jibu lake..ooh we dada wa JF usiniletee mabalaa maishani mwangu....sitaki nasema sitaki Ni huyu pekee anayeutesa moyo wangu..Hakuna mwingine chini ya jua zaidi yake .....Msiniseme guys ni mapenzi tu..Sitaki kuwa kama KongoshoWhat i need is a kiss jamani ..Mbona una roho ngumu wewe (.......)Hii msg itamfikia mhusika for the second time..kupitia ubao huu............................xoxoxoxoxoxoxoxo
   
 2. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni mimi eeh.. Nshaupata ujumbe.. Nakuja!
   
 3. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Kumbe ni mie nakutesa?
  Niambie nije wapi lol

  Anyway, nimeshakusoma, na dots zimeunga, kwa kifupi pole.
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  NO means NO. . .
  Learn to accept things for what they are na uache kumsumbua kaka wa watu mwenye mke wake nyumbani.
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Sometimes NO means YES.....halafu wewe ngoja nitafute sindano ya ngombe ndio inakufaa
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,129
  Likes Received: 6,617
  Trophy Points: 280
  Napita njia.
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Siku hizi Lizzy anachunga ng'ombe na sindano anawachoma mwenyewe
  Chezeiya malavidavi weweee.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160

  The Finest
  Napenda watu wanaochukulia NO kuwa NO na sio YES mpaka mhusika atakapoibadili kuwa YES. Kuwa king'ang'anizi sio ishu.

  Hehehehe. . .we kama ni sindano nilishapata jana. Fanya mpango wa pesa ya matunda na mboga mboga maana ndio maagizo ya Daktari.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahaha. .Konnie mapenzi sio mchezo aisee. . .
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Lizzy, naomba tindikali prufu yangu
  Dalili si nzuri huku, ni bora kuwa equiped mapema.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hahaha!! Naona bibie sasa anaugulia ile NO...ngoja nikuletee majani ya muarobaini yanasaidia sana hasa ukilia na ugali
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Hi Mamndenyi!

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kongosho nasikia siku hizi anatembea na tindikali kwenye handbag yake
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hahahaha. . .nani anatishia resepsheni yako?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Acha ujinga wewe. . .ntakutumia mtu hapo nanii akucharaze. Unataka nanii iharibike?
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  kazi kweli, pole yako dada
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mmmh, bado sijajua ila dalili ya mvua siku hizi ni kimbunga.
  Naona kimbunga kinavuma kuja upande wangu
  Sura yenyewe yangu kama ya bi kidude ikiwekewa na tindikali nikipita klinik watoto watakimbia.

   
 19. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Chezea Lizzy?
  Siku hizi kahamia kwenye nyukilia
  Ana-supply polonium na Uranium

   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Dah. . . pole mwaya!!
  Ngoja nikupe maana mimi hata situmii siku hizi, wale wangu sijui wamekimbilia wapi. Hofu imebaki kwa Bishanga kung'olewa meno.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...