Jamani kama mnakumbuka ule uzi wangu wa yule mwana JF anayenikosesha usingizi..Nawaza sijui ni mganga yupi niende........,Eti kanambia ooh nimeoa pls dont follow follow me .....Nikamwambia naomba ka busu ka mbali baada ya hapo sikujui tena...Jibu lake..ooh we dada wa JF usiniletee mabalaa maishani mwangu....sitaki nasema sitaki Ni huyu pekee anayeutesa moyo wangu..Hakuna mwingine chini ya jua zaidi yake .....Msiniseme guys ni mapenzi tu..Sitaki kuwa kama KongoshoWhat i need is a kiss jamani ..Mbona una roho ngumu wewe (.......)Hii msg itamfikia mhusika for the second time..kupitia ubao huu............................xoxoxoxoxoxoxoxo
NO means NO. . .
Learn to accept things for what they are na uache kumsumbua kaka wa watu mwenye mke wake nyumbani.
Sometimes NO means YES.....halafu wewe ngoja nitafute sindano ya ngombe ndio inakufaa
Amekwisha kwambia huna nafasi ndani mwake kubaliana na alichokwambia using'ang'nize kumweka akili na moyoni mtu asiyekuwa na habari nawe
Sometimes NO means YES.....halafu wewe ngoja nitafute sindano ya ngombe ndio inakufaa
Khaaaaa....ole wako useme NO sasa...tindikali itakuhusu sanaAcha ujinga wewe. . .ntakutumia mtu hapo nanii akucharaze. Unataka nanii iharibike?
Haya hebu yalete
Bishanga hana tatizo ukimpuliza tu anaanguka.
Mkwe wako amekuwa mbishi kweli siku hizi sijui anakula chakula chenye virutubisho gani sasa ile sindano ya ngombe tukimdunga moja tu kwisha habari yake..@ The Finest unampango gani la hilo sindano kwa mkwe wa mtu.
Khaaaaa....ole wako useme NO sasa...tindikali itakuhusu sana
acha kumbania mwenzio kiss sh ngapi banaaa....Mkwe wako amekuwa mbishi kweli siku hizi sijui anakula chakula chenye virutubisho gani sasa ile sindano ya ngombe tukimdunga moja tu kwisha habari yake..
Smile nakuja kwako..acha kumbania mwenzio kiss sh ngapi banaaa....
Lizzy shhsss sema taratibu asisikie...Wewe. . . kwahiyo unataka iharibike?! Loh. . .ngoja mwenyewe asikie hayo maneno.
Amekwisha kwambia huna nafasi ndani mwake kubaliana na alichokwambia using'ang'nize kumweka akili na moyoni mtu asiyekuwa na habari nawe