Bado anaiota CHADEMA huyu

Nenda Shoza,
Neeenda,
usigeuke nenda,
Neenda,
Nasema Nenda shoza,
Neeenda,
Usirudi Neenda,
Neenda jamni neenda,
Potea kabisa shoza neenda,
Neeenda dada, Neenda.

Nenda ujikunyate kwenye kwapa la JK, Neenda, jamani dada neenda, neenda kabisa neenda.
 
Mama Salama naona hana imani na huyu binti......halafu huyu Mwampambwa mbona kabeba mawe mfukoni?

 
ki ukweli mpaka mimi kwamtoro nikisema huyu mtoto mzuri kwa kweli ujue mzuri. Inaelekea Chadema hamna wanaume wa shoka au madomo zege na uwarakati mwingi. Sasa ameenda kwa wanaume kama mtamsikia mashetani yakipanda tena. kimyaaaa mtaona kimyaaa
 
Sidhani kama hawa walistahili ukaribisho wanamna hii CCM!Maana walikotoka wameoneka nimagalasa!Mimi nijuavyo ukilamba galasa unakunja uso!Nisihao tu,wapo walibaki nao nasikia wanasubiri ikaribie 2015 ndio waende eti kwakishindo mmoja wao Shibuda tehe tehe tehete........Wengine tunawastahi ila nao hawatatisha wakiondoka maana tumeshaijua listi yao nania yao yakuwakandamiza watanzani wazalendo!
 
ki ukweli mpaka mimi kwamtoro nikisema huyu mtoto mzuri kwa kweli ujue mzuri. Inaelekea Chadema hamna wanaume wa shoka au madomo zege na uwarakati mwingi. Sasa ameenda kwa wanaume kama mtamsikia mashetani yakipanda tena. kimyaaaa mtaona kimyaaa

Umelonga kwani asilimia kubwa ya watu hao ni kwa kazi hizo awepo Simba au Yanga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…