Bado anaiota CHADEMA huyu

Anauchu wa madaraka , hawa ndio vibaraka wa kubwa atatupwa kapuni huko hadi atajuuuuta!
 
Ukisikia Mtakayote kwa pupa na mbio za sakafuni ndo huku! You can never save two Masters all at once and get away with it!
 
Njala-Mbaya. Nadhani ni maneno ya Kimakonde au Kingoni yakimaanisha Njaa mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…