Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,802
- 2,961
Ni hatari sana mikwara mingi maisha tight
duuh inatisha!Ni hatari sana mikwara mingi maisha tight
Sina uhakika kama una uhakika wa usemacho!!!!
Nilichoandika is a polite way of saying "hujui usemacho"Ukiona huna hakika basi una wasiwasi. Wasiwasi ni ugonjwa hatari sana kwa maisha.
??!!...Kinacho nishangaza mpaka sasa bado kuna watu hawajaona wehu wa huyu mtu wa kambi ya upinzani. Kweli watu hawaoni vituko vinavyofanyika mpaka sasa? Dodoma watu wanaondolewa kwenye nyumba zao ili kupisha wizara kuingia, mbaya zaidi hata walio chini yake hawajajua kama wameishapotea.
Wizara ya Elimu walikuwa wameisha jianda kuondoka mwanzoni mwa mwezi8, mkuu wa mkoa kahairisha hadi tar14, hii inaonyesha hakuna maandalizi yoyote, watu wanakurupuka kabisa. Nazani huyo kiongozi wao wa upande wa pili akili zake sio sawa, baada ya miaka2 watu watagundua kumbe kiongozi wa kambi ya upinzani ni kichaa, walikuwa wanaitikia matamko ya kichaa.
Watanzania tushituke, haiwezekani mtu mmoja afanye maamuzi kwa ajili ya nchi nzima, tunataka kiongozi afuate katiba na kuheshimu bunge, kiongozi wa kambi ya upinzani yeye sio Mungu.
Hakuna mtu mwenye haki miliki na hii nchi, maamuzi yake ya hovyo yanalighalimu taifa sasa, bado watu hawashituki. Hii ni miezi8 baada ya uchaguzi hali ndio hii, jee tukifikisha miaka2 hali itakuaje?
Ana lipi la kufurahi??Kama Kuna Mtu Anae Furahia Malalamiko Yenu Hapo,Basi ni Lowasa!
Eee Mungu,ingilia kati.Baba kikwete uko wap? Ina maana haumshaur huyu mrithi wako? Tunakulaan saana,bora ungemchagua hata wasira awe mrithi wako ila sio huyu anaye tuongoza.
Muache mzee jk apumzike!Eee Mungu,ingilia kati.Baba kikwete uko wap? Ina maana haumshaur huyu mrithi wako? Tunakulaan saana,bora ungemchagua hata wasira awe mrithi wako ila sio huyu anaye tuongoza.