Bado amri mbili tu kutolewa

Bado amri mbili tu kutolewa

Tangu Rais Magufuli aanze kutoa matamko yamekua ni mengi na inaonekana hataki utani wala kuchezewa.

Kama alivyojipambanua kwenye hotuba zake za hivi karibuni, sasa katika mtiririko wa matamko na ilani zake amebakisha amri mbili tu.

Amri ya kwanza ni wananchi wavamie kila fisadi wanaemjua amepata pesa kwa njia zisizo halali na mali wajichukulie vyao,maana inaonekana rais ana hasira sana na hao watu.

Amri ya pili ni wananchi kutembea mwisho saa kumi na mbili kila mmoja awe nyumbani kwake.

Nchi inavyokwenda tunatakiwa kuomba Mungu sababu watu wamewasha moto halafu mmoja ameshika jinga la moto kuelekea kwenye mapipa ya petroli na hakuna wa kumzuia kasi ni kubwa!

Mungu ibariki Tanzania inapita kwenye majaribu makubwa.
Mkuu mm nikutoe wasiwasi hamna mazingira magumu unayoyawaza, hii ni hali ya kawaida sana kimsingi nimuonavyo mm huyu Rais anahanu na shaiku ya kuinyoosha Tanzania ilifika kipindi Tanzania hii ilikuwa ni Shamba la bibi kila Mkuu anachuma anavyotaka yaani ilikuwa ni nchi ya familia Fulani zilizo kwenye system,sasa mambo hayo yabakie hukohuko kwenye vyama na sio katika Taifa.
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mbariki Rais wetu.
 
JPM kazugukwa na matenki ya petroli , UKUTA wameshika lighter.
 
TAMKO LA MWISHO ATAKAYE nitukana NA MUUA Adharani maana amenitukana adharani
 
atakuja kusema kuwa hakuna raia kusafili kwenda mkoa mwingine,coz kama ukisafili kazi atafanya naniiii
Bado, ukibanwa na haja kubwa au ndogo upo mbali na nyumban kwako, vumilia mpaka urudi kwako uctujazie mashimo yetu.............. ..... ni utani tuuu kwani hapa kwetu tuna makabila zaidi ya 100 tumezoea kutaniana tuu......
 
Mkuu mm nikutoe wasiwasi hamna mazingira magumu unayoyawaza, hii ni hali ya kawaida sana kimsingi nimuonavyo mm huyu Rais anahanu na shaiku ya kuinyoosha Tanzania ilifika kipindi Tanzania hii ilikuwa ni Shamba la bibi kila Mkuu anachuma anavyotaka yaani ilikuwa ni nchi ya familia Fulani zilizo kwenye system,sasa mambo hayo yabakie hukohuko kwenye vyama na sio katika Taifa.
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mbariki Rais wetu.
wasiwasi mimi sina ila tupo kuangalia mustakabali tu mkuu!
 
Hata mkulu alipita kwenye majaribu makubwa wakati wa kampeni hadi katuni moja ikachorwa ikimwonesha anaungua lakini mkwere kwa pembeni akimpoza kwa maneno mazuri kuwa ni moto wa mabua tu avumilie atavuka! Mkulu ni mzoefu tayari kwa majaribu na vizuri keshasema hajaribiwi now hivyo tusiwe na shaka wabongo tutapita ila mafisadi tutawaacha segerea!
 
Tutaisoma number na humu jf mnamkosoa kosoa mtukufu ngoja apitishe rungu lake
 
Tamko jingine "kuanzia wiki ijayo watanzania wote mtaanza kulipia kodi na ushuru wa pumzi kwa sababu mnaishi Tanzania"

HAPO SASA
 
Mkuu mm nikutoe wasiwasi hamna mazingira magumu unayoyawaza, hii ni hali ya kawaida sana kimsingi nimuonavyo mm huyu Rais anahanu na shaiku ya kuinyoosha Tanzania ilifika kipindi Tanzania hii ilikuwa ni Shamba la bibi kila Mkuu anachuma anavyotaka yaani ilikuwa ni nchi ya familia Fulani zilizo kwenye system,sasa mambo hayo yabakie hukohuko kwenye vyama na sio katika Taifa.
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mbariki Rais wetu.
Sina uhakika kama una uhakika wa usemacho!!!!
 
huzi huu ukidumu mpaka kesho utakuwa na bahati sana, mana JF siku hizi imekuwa mtihani sana
 
Mkuu mm nikutoe wasiwasi hamna mazingira magumu unayoyawaza, hii ni hali ya kawaida sana kimsingi nimuonavyo mm huyu Rais anahanu na shaiku ya kuinyoosha Tanzania ilifika kipindi Tanzania hii ilikuwa ni Shamba la bibi kila Mkuu anachuma anavyotaka yaani ilikuwa ni nchi ya familia Fulani zilizo kwenye system,sasa mambo hayo yabakie hukohuko kwenye vyama na sio katika Taifa.
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mbariki Rais wetu.
Nchi inanyooshwa na katiba sio matamko, kufanyaivo ni kazi bure, hii ni sawa na badala ya kumpereka mtoto wa miaka 4 chekechea wewe unampereka darasa la 3 halafu unatangaza bakola na unasema ataelewa tu.
 
Mkuu naomba usipanic twende kiutaratibu nchi kweli inanyooshwa na katika lakini sio kwa Tanzania ilipofikia.Tuna miaka mi ngapi tangu hyo katibu kuundwa? Tujiulize ni Lini ilinyoosha nchi? Tuache ushabiki
 
Nikweli kabisa...huo moto ni Magufuli na petroli ni mahakama ya mafisadi...hamieni Somalia
 
Mkuu mm nikutoe wasiwasi hamna mazingira magumu unayoyawaza, hii ni hali ya kawaida sana kimsingi nimuonavyo mm huyu Rais anahanu na shaiku ya kuinyoosha Tanzania ilifika kipindi Tanzania hii ilikuwa ni Shamba la bibi kila Mkuu anachuma anavyotaka yaani ilikuwa ni nchi ya familia Fulani zilizo kwenye system,sasa mambo hayo yabakie hukohuko kwenye vyama na sio katika Taifa.
Mungu ibariki Tanzania ,Mungu mbariki Rais wetu.
Kinacho nishangaza mpaka sasa bado kuna watu hawajaona wehu wa huyu mtu wa kambi ya upinzani. Kweli watu hawaoni vituko vinavyofanyika mpaka sasa? Dodoma watu wanaondolewa kwenye nyumba zao ili kupisha wizara kuingia, mbaya zaidi hata walio chini yake hawajajua kama wameishapotea.

Wizara ya Elimu walikuwa wameisha jianda kuondoka mwanzoni mwa mwezi8, mkuu wa mkoa kahairisha hadi tar14, hii inaonyesha hakuna maandalizi yoyote, watu wanakurupuka kabisa. Nazani huyo kiongozi wao wa upande wa pili akili zake sio sawa, baada ya miaka2 watu watagundua kumbe kiongozi wa kambi ya upinzani ni kichaa, walikuwa wanaitikia matamko ya kichaa.

Watanzania tushituke, haiwezekani mtu mmoja afanye maamuzi kwa ajili ya nchi nzima, tunataka kiongozi afuate katiba na kuheshimu bunge, kiongozi wa kambi ya upinzani yeye sio Mungu.

Hakuna mtu mwenye haki miliki na hii nchi, maamuzi yake ya hovyo yanalighalimu taifa sasa, bado watu hawashituki. Hii ni miezi8 baada ya uchaguzi hali ndio hii, jee tukifikisha miaka2 hali itakuaje?
 
Hata mkulu alipita kwenye majaribu makubwa wakati wa kampeni hadi katuni moja ikachorwa ikimwonesha anaungua lakini mkwere kwa pembeni akimpoza kwa maneno mazuri kuwa ni moto wa mabua tu avumilie atavuka! Mkulu ni mzoefu tayari kwa majaribu na vizuri keshasema hajaribiwi now hivyo tusiwe na shaka wabongo tutapita ila mafisadi tutawaacha segerea!
Itakuwa vyema!
 
Back
Top Bottom