Bado amri mbili tu kutolewa

Mimi nilianza kuwa na mashaka kwa kile kitendo cha kumfukuza kazi mkurugenzi wa Kinondoni Mhe Kabwe RIP! Pale darajani kwa staili ya kuhoji halaiki!nikajua huko tuendako itakuwa hatari zaidi!hapa ni miezi nane tu!uzuri wapo wanaoona na kwa nia nzuri wanasema.
 
Itakua vizuri kwa sababu vyama vingine havina tija katika maendeleo ya nchi hii
Hata chama tawala kinafahamu umuhimu wa vyama pinzani. Kuna vitu vichache tu vya kurekebisha ila changamoto wanazotoa zinadaidia kujipanga vizuri
 

Umesahau nyingine atasema kila mmoja abaki katika mkoa alikozaliwa, sasa sijui na yeye ikulu yake atapeleka Chato?
 
Umesahau amri nyingine, kuanzia sasa vyama vyote vya siasa vimepigwa marufuku itabaki ccm tu, atakaye nijaribu atakiona cha mtemakuni
Dicteta Namba moja nchi hii ni Mbowe.

Ukitaka kukutana hasira yake gombea uenyekiti Wa chadema, au muulize alimpataje mgombea urais Wa 2015??
 
Ni janga la Taifa tena kubwa sana. Ni fisadi Mkapa na fisadi Kikwete ndiyo walimpigia debe huyu bila kujali maslahi ya Taifa bali maslahi yao ya kulindwa dhidi ya madhambi yao mbali mbali waliyoyafanya walipokuwa madarakani.
 
The time comes where no stone will remain unturned, we witnessed his kind but today are no more
 
Tatizo nyie wa CDM watu wote mnawaona hawana akili tatizo mlizoea mtelemko na kuishi kwa ujanjaujanja mnataka siasa za kuishi kwenye media kwa matukio,majizi yote mnayoyatete na kubwa lao mnatembea nalo lazima yashughulikiwe mmekuwa chama cha kuishi na kutetea mafisadi kwa nguvu zote yangu mumfukuze babu Dr SLAA.na mlaaniwe!
 
wise man talk because they have something to say, fools talk because they have to say something.
 
Mkuu naomba usipanic twende kiutaratibu nchi kweli inanyooshwa na katika lakini sio kwa Tanzania ilipofikia.Tuna miaka mi ngapi tangu hyo katibu kuundwa? Tujiulize ni Lini ilinyoosha nchi? Tuache ushabiki

Kina nani walikua madarakani acha undezi wewe. Nchi muifanye nyinyi shamba la bibi. Badala mkamatane mnaanza kuleta bongo movie acheni ujinga watanzania wanawaangalia tu.
 
Sio kila anaeleta mada ana mrengo wa chama fulani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…