Bado amri mbili tu kutolewa

Bado amri mbili tu kutolewa

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
20,142
Reaction score
24,432
Tangu Rais Magufuli aanze kutoa matamko yamekua ni mengi na inaonekana hataki utani wala kuchezewa.

Kama alivyojipambanua kwenye hotuba zake za hivi karibuni, sasa katika mtiririko wa matamko na ilani zake amebakisha amri mbili tu.

Amri ya kwanza ni wananchi wavamie kila fisadi wanaemjua amepata pesa kwa njia zisizo halali na mali wajichukulie vyao,maana inaonekana rais ana hasira sana na hao watu.

Amri ya pili ni wananchi kutembea mwisho saa kumi na mbili kila mmoja awe nyumbani kwake.

Nchi inavyokwenda tunatakiwa kuomba Mungu sababu watu wamewasha moto halafu mmoja ameshika jinga la moto kuelekea kwenye mapipa ya petroli na hakuna wa kumzuia kasi ni kubwa!

Mungu ibariki Tanzania inapita kwenye majaribu makubwa.
 
Tangu rais magufuli aanze kutoa matamko yamekua ni mengi na inaonekana hataki utani wala kuchezewa.

Kama alivyojipambanua kwenye hotuba zake za hivi karibuni, sasa katika mtiririko wa matamko na ilani zake amebakisha amri mbili tu.

Wananchi wavamie kila fisadi wanaemjua amepata pesa kwa njia zisizo halali na mali wajichukulie vyao,maana inaonekana rais ana hasira sana na hao watu.

Amri ya pili ni wananchi kutembea mwisho saa kumi na mbili kila mmoja awe nyumbani kwake.

Nchi inavyokwenda tunatakiwa kuomba mungu sababu watu wamewasha moto halafu mmoja ameshika jinga la moto kuelekea kwenye mapipa ya petroli na hakuna wa kumzuia kasi ni kubwa!

Mungu ibariki tanzania inapita kwenye majaribu makubwa.

God help..
 
Tangu Rais Magufuli aanze kutoa matamko yamekua ni mengi na inaonekana hataki utani wala kuchezewa.

Kama alivyojipambanua kwenye hotuba zake za hivi karibuni, sasa katika mtiririko wa matamko na ilani zake amebakisha amri mbili tu.

Amri ya kwanza ni wananchi wavamie kila fisadi wanaemjua amepata pesa kwa njia zisizo halali na mali wajichukulie vyao,maana inaonekana rais ana hasira sana na hao watu.

Amri ya pili ni wananchi kutembea mwisho saa kumi na mbili kila mmoja awe nyumbani kwake.

Nchi inavyokwenda tunatakiwa kuomba Mungu sababu watu wamewasha moto halafu mmoja ameshika jinga la moto kuelekea kwenye mapipa ya petroli na hakuna wa kumzuia kasi ni kubwa!

Mungu ibariki Tanzania inapita kwenye majaribu makubwa.
Kwani chadema kuna fisadi?
 
Back
Top Bottom