Badilisha Tabia Moja 2023

Badilisha Tabia Moja 2023

Hii tabia ninayo pia,, Home-Kazini-Home,,..Najitahidi kujenga ukaribu na watu ninaoishi nao hapa ila nimeshindwa zaidi ya wauza maduka.Sinaga hata namba za majirani zangu.
Kumbe tupo wengi.Ni nzuri sn hii,nilijikuta nimezoeana kidogo na nyumba jirani aisee kilichonikuta nimekoma.This time sitaki mazoea hata na sisimizi
 
Mimi nina siku ya nne Sasa nimeacha kabisa kutongoza vitoto vya chuo.

Naamini nitaweza 2023..

Kwenye Nia Pana Njia
 
dah sinywi pombe,wala sigara wala kilevi cha aina yoyote ila last month niliamua niangalie kipi kinachomaliza hela zangu

Niliishia tu kucheka mwenyewe baada ya kugundua kuwa misos misos imechukua 70% ya matumizi yangu nkaenda kujiridhisha baada ya kufungua fridge nkaishia tu kucheka kwa vitu nilivyovijaza kwenye fridge
Aisee badilika sasa 😂
 
Hujui kuwa anayekupa nyege ili upige nyeto ni jini mwenyewe ambaye hutegesha domo lake ukipiz tu anafyonza manii papo hapo.

Endelea kujidanganya.
hapana hakuna jini linalokula manii zangu, maana nna beat off rag mahsusi kabisa, na naifua kila baada ya miezi sita
 
Washkaji wengi sikuizi wachawi tu, hawana issue man... Kazi kuchunguzana na kuchafuliana sifa (u snitch) afu mbaya ukija kufanikiwa au ukiwa na mafanikio wanageukaga kuwa ma chawa na kujipendekeza sana...
True man
 
Mlioweza kuacha vijitabia hivyo mwaka huu mpya siku ya 5 hii tujuane.
Mimi kama nimeshindwa hivi.
 
Kuna mda nilijuaga punyeto/kuichua ni tatizo kuubwaa katika pita pita zangu nikakutana na mwalimu ni professor nikamswalika swali kuhusu kujichua,
Nilimuuliza hivi punyeto ni hatari kwa afya kwa kiasi gani?
Professor akanijibu kuwa ni inategemea na kadri unavyoufanya kuna namna ukifanya inakuwa haina madhara kabsa na kuna namna ukifanya ndio itakuletea madhara,
Na alisimama katika kufanya kupita kiasi ndio utakuletea madhara ila kama utafanya kwa wiki mara mbili tu na kwa njia salama inakuwa haina tatizo lolote lile.

Tafadhalini hapo sijazungumzia kiupande wa dini.
 
Back
Top Bottom