Vandma Pro
Member
- Aug 30, 2022
- 61
- 82
Kushinda humu JF!
Amina!!Mungu awasaidie na kuwatia nguvu wote wenye nia ya dhati ya kuacha tabia zao mbaya
Kwa nini upige nyeto wakati kuna wadada wengi tu unaweza kuoa umpendae mfurahie tendo la ndoa.ni control ili iweje ? sperms zinazalishwa daily ili ziwe released nje, nizibanie ndani ili iweje ? sitaki
Unapopiga nyeto huwa unapeleka hisia zako kwa demu au ?siachi,
yeah, nna picha kadhaa za Irene Uwoya, na Wema ( zile za zamani akiwa bado thick 🥰)Unapopiga nyeto huwa unapeleka hisia zako kwa demu au ?
hapana , sioi, nafurahia nyeto zaidi, sipangiwi ratiba, sisusiwi, mda wowote uleKwa nini upige nyeto wakati kuna wadada wengi tu unaweza kuoa umpendae mfurahie tendo la ndoa.
Wazungu wametuzidi kwy maswala ya muda. Wao Kila kitu wanafanya ulinganifu na muda unaotumika1.pombe
2. Outing
3. Kutofanya kitu kwa muda![]()
Wanaokunywa soda na wenyewe choka mbaya kama sie walevikama ulikua pampula aka cha pombe acha kabisa mwaka 2023 utakuja kunishukuru sana baadaye
Yani we acha tu hii ni mbaya sanaWanaokunywa soda na wenyewe choka mbaya kama sie walevi
Amen. Lazima niache nyeto katika jina la Yesu 🙏🏿
Mm nataka kubak na demTunaelekea 2023 hivyo ni vyema kuachana na zile za 2022.
Jichunguze kisha uwe na uamuzi sahihi.
Ni tabia gani mbaya unayohitaji kuachana nayo mwaka wa 2023 - ugomvi, kulalamika, kuahirisha, kuvuta sigara, kucheza vilabu vya usiku, ponografia, ngono ya kawaida, uraibu wa mitandao ya kijamii, kununua bila mpangilio n.k.?
Jiulize pia;
Je! ni tabia gani nzuri unayohitaji kuikuza mwaka wa 2023
- kudhibiti hasira, shukrani, kula vizuri, kufanya mazoezi mara kwa mara, kusoma kila siku, kusali kila siku nyumbani , kwenda ktk nyumba za ibada , kumaliza kazi za kila siku n.k.?
Mabadiliko ni mengi , lakini hakuna kinachoumiza kama kukwama mahali ambapo hapafai . Mabadiliko hayatakuja ikiwa tunangojea mtu mwingine au wakati mwingine. Wewe ndiye umekuwa ukingoja.
Mambo hayabadiliki, tunabadilika. Ikiwa hatubadiliki, hatutakua. Mabadiliko sio bahati mbaya kamwe. Mabadiliko si rahisi. Mambo yote ni magumu kabla hayajawa rahisi. Ikiwa hakuna mapambano, hakuna maendeleo.
Badilisha Tabia Amini unaweza kubadilika. Kisha chukua hatua za mtoto leo(anza kukua) . Fanya kazi na mshirika wa uwajibikaji. Mwamini Mungu akupe nguvu za Mungu katika safari hii.
Itapendeza ukioa kabisaMm nataka kubak na dem
Mmoja tu
Acha nyeto, hizo manii unazomwaga hovyo utadaiwahapana , sioi, nafurahia nyeto zaidi, sipangiwi ratiba, sisusiwi, mda wowote ule