proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,315
- 11,100
Ngoja ni mwite mamdogo anisaidie kumshika mtoto anywe dawasitaki
Ngoja ni mwite mamdogo anisaidie kumshika mtoto anywe dawasitaki
siachi,acha huo sio umri wa Nyeto
hahahaha,Ngoja ni mwite mamdogo anisaidie kumshika mtoto anywe dawa
Tafuta mbususu ww ila. Chunga kaswende, gono, HIV ipo badomawazo yako tu haya,
sitafuti mbususu, natia nyeto, na hii ndiyo ratiba yangu:Tafuta mbususu ww ila. Chunga kaswende, gono, HIV ipo bado
Danke Bruder für diesen beitrag!Tunaelekea 2023 hivyo ni vyema kuachana na zile za 2022.
Jichunguze kisha uwe na uamuzi sahihi.
Ni tabia gani mbaya unayohitaji kuachana nayo mwaka wa 2023 - ugomvi, kulalamika, kuahirisha, kuvuta sigara, kucheza vilabu vya usiku, ponografia, ngono ya kawaida, uraibu wa mitandao ya kijamii, kununua bila mpangilio n.k.?
Jiulize pia;
Je! ni tabia gani nzuri unayohitaji kuikuza mwaka wa 2023
- kudhibiti hasira, shukrani, kula vizuri, kufanya mazoezi mara kwa mara, kusoma kila siku, kusali kila siku nyumbani , kwenda ktk nyumba za ibada , kumaliza kazi za kila siku n.k.?
Mabadiliko ni mengi , lakini hakuna kinachoumiza kama kukwama mahali ambapo hapafai . Mabadiliko hayatakuja ikiwa tunangojea mtu mwingine au wakati mwingine. Wewe ndiye umekuwa ukingoja.
Mambo hayabadiliki, tunabadilika. Ikiwa hatubadiliki, hatutakua. Mabadiliko sio bahati mbaya kamwe. Mabadiliko si rahisi. Mambo yote ni magumu kabla hayajawa rahisi. Ikiwa hakuna mapambano, hakuna maendeleo.
Badilisha Tabia Amini unaweza kubadilika. Kisha chukua hatua za mtoto leo(anza kukua) . Fanya kazi na mshirika wa uwajibikaji. Mwamini Mungu akupe nguvu za Mungu katika safari hii.
NiambieNitakwambia njia nayotumia mm
Unahitaji vitu viwili tu muhimu:
Shukrani sana mkuuUnahitaji vitu viwili tu muhimu:
•Spiritual attachment kwa dini yeyote uliyenae.. hata kama hautakuwa muumini kindaki ndaki
•The Goal/purpose in Life- tafuta kitu unachotaka kufanya maishani more than anything... hapa nazungumzia ile deep passion
Then anza hatua za kufikia malengo yako, anza sasa, kuwa obsessed na hilo lengo lako... fanya kazi 12 hrs per day ikiwa inawezekana... weka to-do list then gawanya mda wako kwa siku into time blocks(kuna apps)... kwamba kila saa na task yake. Hii itakusaidia unakosa ule mda loose
Wewe ni binadamu lazima utaskia tu kusumbuliwa, ukihisi hivyo jua mwili wako ndio unaotaka kupiga nyeto na sio akili yako... Jifunze self control focus on work au kitu kingine usiwaze lile bao la jana au ile feeling ikija ikatae... trust me uki resist robo saa haiishi nyege zishasepa.
A key ni kuwa na strong mind plus hofu ya mungu kwamba hilo tendo ni machukizo.
Strong mind utaitoa wapi: utaipata baada ya kupata ndoto yako, sidhani kama kati ya kutimiza ndoto yako vs nyeto yani wewe utachagua nyeto 😂
Shukrani sana mkuu
Ushawahi weka juhudi zozote tofauti na kusema unaacha?Pombe kuiacha ngumu sana, kila siku huwa najisemea mwenyewe leo sinywi, ikifika jioni najikuta nimeingia mahali nimekunywa na nyingine nabeba napeleka nyumbani.
Marafiki hauwakatai ila wale wabovu wanapungua wenyewe ukiwa na lifestyle ambayo iko positive. Wataonq kuwa wewe sio mwenzao tena.mwakani sitaki marafiki
Acha kabisa watoto wa kike wapo wengi tafuta mmja ,kuwa mwaminifu hakika utakuja kunishukuru1. kupiga nyeto
2. kutoacha nyeto
3. kuendeleza nyeto
Cha muhimu acha kuangalia picha na video za uchi utakuja kunishukuruNa mfuasi wa Nyeto
Mwache aendelee kupiga Nyeto Hadi ujinga umtoke... Halafa ndio wanapromote ajenda ya Kataa ndoa Piga NyetoCha muhimu acha kuangalia picha na video za uchi utakuja kunishukuru
Kabisa mkuuMwache aendelee kupiga Nyeto Hadi ujinga umtoke... Halafa ndio wanapromote ajenda ya Kataa ndoa Piga Nyeto