badiliko la mihula A-level

structuralist

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,231
906
waraka wa elimu no 5 wa 2012 uliosambazwa hivi karibuni unaonesha kuwa form 4 watafanya pepa wiki ya pili ya november na fom 6 wiki ya kwanza mei na fom 5 itaanza wki ya kwanza julai. Ishu hapa ni kwamba hao fm 6 liva watajiunga na chuo mwaka upi? Kuna tetesi kuwa hii pia inalenga kuwapa hao vijana muda wa kwenda jkt je kuna ukweli katika hili? Na je huu muda wa fm 4 kusubiri kujiunga na kidato cha 5 hauna madhara kwa hawa vijana,?kimtzamo wako unfikiri nini madhara ya mabadiliko hayo?
 
Back
Top Bottom