Badiliko la Manoah Kitabia..

penzi lako lilimdatisha ndio maana kawwhuka baada ya kuachana na wewe
 
mie nasubiri comment ya manoah tu
na sitoshangaa kama hajacomment
 
Last edited by a moderator:
hakika huu haya maneno yako ni ushahidi tosha wa kuhusika kwako.
Hebu kanusha kwa ushahidi bhana na utueleze ulimuacchaje na sasa amekuwaje? hapa kuna mkono wako kabisa na ushahidi usio na shaka hupo mamisa.
 
Last edited by a moderator:
lakini nilikuambia ukasema mama wa kambo siyo mama mimisa vumilia mumeo huyo ulimpenda mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
umenifanya zezeta
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…