Badilikeni wadada

Badilikeni wadada

aya ya kwanza sababu najijua nko kundi gani..najijua mi ni nani so nimeongea ukweli

kujisifia dhambi?

nlitaka kuonyesha sio upande wa wanaume tu ndo wana malalamiko hayo.hata sisi wanawake pia

ila MO sipendi uchochezi wako.kila ntapocomment unanichokonoa..sipendi ujue
sijaolewa sababu sijapata anaejielewa
Pole aggy, hizo ndizo changamoto za kwenye jukwaa ila mo anakuchemsha tu.
 
c65666b3426eb1adec73cb1a2ca6ea73.jpg
 
Back
Top Bottom