Badilika Na Samsung Galaxy GT B5512 line 2.!!

Badilika Na Samsung Galaxy GT B5512 line 2.!!

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,341
Wakuu salama? mkewangu anatumia hii simu anataka nyingine mwenye smartphone ya maana tumpatie hii na kumuongeza pesa nyingine, aseme pls.

Nimeona kuuza itachukua muda.

~Weka aina ya simu
~Unapatikana wapi?
~Niikuongeze sh ngap?

Asante sanaa.!!
 
Back
Top Bottom