Badala ya kuumizwa nao, wapishe….

Badala ya kuumizwa nao, wapishe….

ni sawa kabisa Mtambuzi mi hua nawaambia ngurue pita sina mkuki!!
urafiki na ushost ni majanga nawdays!!
 
Last edited by a moderator:
umeibukia wapi mamii twakutafuta tangu asubuhi?
umlete na husband wa ujana wako Asprin asome ujumbe toka kwa Mtambuzi...... mwambie mkwe wake namtafuta huku.....
ampitie na odm wake Kaizer
Fixed Point I like your way of philosophizing.....hakuna mjadala hapo

uchokozi wangu wa leo ni hawa vijana wasiojua kwamba ulikuwaga Fixed Point kabla ya FP ambayo ni tautology....

Sasa waweza mwambia neno mtumishi wako nakusikia....
 
Last edited by a moderator:
Fixed Point I like your way of philosophizing.....hakuna mjadala hapo

uchokozi wangu wa leo ni hawa vijana wasiojua kwamba ulikuwaga Fixed Point kabla ya FP ambayo ni tautology....

Sasa waweza mwambia neno mtumishi wako nakusikia....
ha haaa, umeona eeehhhh! halafu wako wengi saaanaaaaa......
unajua bado kidogo tu nirudishe na ile graph yangu.... nikagundua watu wengi wangeenda chaka mno, mngebaki wachache tuuuuu........
nilikuwa nauliza leo ni juma ngapi? maana naona kama mahesabu hayabalance vizuri
 
hehehe bado kabisa tarehe hazisomi hizi ujue......kuwa mpole
 
Back
Top Bottom