Badala ya kuumizwa nao, wapishe….

Badala ya kuumizwa nao, wapishe….

urafiki wa makundi siupendi mimi yaani mko group moja kisha ndani ya group wawili au watatu wanjitenge na kunena au kuteta mbali na wewe yaani mambo haya yalinishinda tangu niko primary rafiki mmoja tuu na akileta za kuleta nae namtimua sitaki unafiki mie. Yaani huyo mdada mwenye blouse nyeupe alivyo mzuri na anavotia huruma wenzake wanamtenga sijui anasubiri nn hapo? ushoga kazi sana mie ulinishinda kabisaaaa.

Urafiki unasumbua but kuna mambo mengine utajikuta unahitaji marafiki ili yaende...so learn to deal with them
 
Mtambuzi thanks kwa somo zuri....na ni kweli tupu. I have friends a lot of na huwa sometimes wanagombana wao kwa wao but sijawah kugombana na hata mmoja. Nilichofanya ni kustudy tabia zao, na weakness zao...so ninapoongea naangalia naongea nini na je rafiki ninaeongea nae ana kifua....nikiudhika sizuunguuki naenda straight kwa aliyenudhi tunayamaliza, sihitaji care off. Tukijumuika nikaona kabisaa mjumuiko huu haukuniusu au walivyojumuika hawakupenda niwepo i will just quit by any reasonable excuse.

Ukiniletea umbea kabla hujaumaliza ntakwambia vp km ungekuja na mhusika uliekuja kumsimanga kwangu na nikitaka kukusimanga sikusimangi kwa mtu nakusimanga hapo hap, ukichukia basi mie ndo nshasema. Na ukiona sikufai kuwa rafiki just feel free to quit, na mm nikiona nimekuchukulia huchukuliki i just tell u hatuwez kwena coz of one, two three.

Na mara nyingi huwa na tahadahri kubwa pale ninapoona hapa pana tatizo na ili nisiwe kisababishi hutaniona. Km alivyosema dada Fixed Point hatufanani na hatuwezi kufanana, kila mtu kalelewa kwao na tabia zake na ningumu Mimi kuwa yeye au yeye kuwa yule.

But mwisho wa siku we need friends na mm napenda sana kuongeza marafiki kila siku iitwayo leo, ni kuishi nao kwa akili, upendo, na kuchukuliana na wakati mwingine kuelekezana na kufundishana yatupasayo kufanya km marafiki.

Nisiwachoshe mwayaa
 
Last edited by a moderator:
. . . . Au hula zilizooza!!!!

hahahaaa.....pole kama ulikula zilizooza! ila vumilia vinavovumilika...........yakikushinda tupa kuleeeee! dunia ina choices kibao ya nini ung'ang'anie uozo!!!!
 
rafiki wa kweli utamjua tu.......
thank you for being my friend, lol!

Binam mzima? nimefurahi kukuona na jila lako la ubatizo kuliko lile jina lako fupi hata mkia wa mbuzi ulikuwa mrefu.

rafiki wa kweli utamjua kwa haya binam… Someone who loves you, cares for you, and protects you like family. They know your deepest and hidden secrets, they laugh at your silly jokes and cry with you too… They respect your feelings and
always try to make you happy… They see the hidden sadness in your smile and they are always there
for you when you're feeling alone… A true friend is
the greatest gem.
 
noted binamu
 
Back
Top Bottom