Bad News: Leticia Nyerere hatunae tena

Bad News: Leticia Nyerere hatunae tena

Status
Not open for further replies.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,966
Aliekua mbunge wa viti maalum wa Chadema na aliekua mke wa Madaraka Nyrerere Leticia Nyerere hatunae Tena Duniani.

Kafia nchini marekani.

Chanzo: Mimi mwenyewe.
 
Aliekua mbunge wa viti maalum wa Chadema na aliekua mke wa Madaraka Nyrerere Leticia Nyerere hatunae Tena Duniani.

Kafia nchini marekani.

Chanzo: Mimi mwenyewe.

Poleni wafiwa.
 
Pumzika kwa Amani Kamanda,mpe salute kamanda Mawazo na mkweo Nyerere
 
R.I.P ....sababu iliyopelekea kifo chake.?
 
Mh! Ni gafla au alikua akipata matibabu.Mungu ampumzishe kwa amani.Familia yake Mungu roho mtakatifu aifariji.
 
Inawezekana kweli maana kifo hatufanyii utani, kama alkuwa anaumwa
 
Aliekua mbunge wa viti maalum wa Chadema na aliekua mke wa Madaraka Nyrerere Leticia Nyerere hatunae Tena Duniani.

Kafia nchini marekani.

Chanzo: Mimi mwenyewe.

Chanzo wewe?? Ubaruku napo Kuna marekani? Huu uzushi uliwekwa kwenye ma group ya whatsapp sana.
 
Mtoa mada hebu tupe habari kwa kina kama taarifa hizi ni kweli maana umetuacha njia panda.
 
Poleni sana wafiwa. Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom