Bad girls ARE SEXY!

sio wanaume wote ujue lakini..kama mimi ukinitongoza sina noma tutaishi ghadi kufa na kuzikana
 
Hii thread imenifanya nimuone Lizzy kitofauti sana. Nilijuwa ni wale wa Feminist wanoko wanoko.
 
Wana jema hawa basi!!? Mtu unajipinda halafu tena Utaulizwa nani kakufundisha, umeona wapi? Ila kwa hili sina mashaka najua utasema nae na nakala ataikuta kabatini.

Hehehehe akileta habari gani msogeze kipande hii nimseme kama hajarudi kwako anakimbia. . lolz.
 

Mim kwanza kabisa ondoa hiyo dhana ya wanaume wote ni wamoja!! Hiyo itakuzuia kuona hata yule mzuri akishajitokeza. Pili hamna namna ya kujua kwa uhakika mtu ana nia gani maana wengi hua wanaanza vizuri mpaka pale wanapokua wameridhika ndio unashangaa mambo sio mambo. Ila unachoweza kufanya ni kujaribu urafiki kabla ya mapenzi, binafsi hua naona ni rahisi sana rafiki kuwa muwazi kwako na wewe kwake kuliko mtu ambae umepania kumpata.

Kumtongoza. . .heheehhe inategemea na akili ya huyo mwanaume.Hapa ndio kumsoma mtu kama rafiki na kujua misimamo yake come in handy. Kuna ambao hawapelekeshwi na tamaa, kwahiyo ukimwambia kwamba umpenda/unamtaka atakujibu kuendana na hisia zake kwako. Kama nae anakupenda/taka atafurahi na atakuunga mkono (kuna mtu aliwahi kusema mahusiano ya aina hii yanalast muda mrefu). . .kama hana hisia na wewe basi atakwambia.
Alafu kuna wale kina "mwanamke akinifuata mwenyewe siwezi kumkatalia" . . huyu atakubali tu kwasababu ya tamaa za mwili na.kwasbabu umejileta mwenyewe. Muhimu ni wewe kujitahidi ukagundua huyo mtu yupo kwenye kundi lipi. Ukishagundua yuko kwenye kundi la akili zinazojitegemea na anapatika jikaze utoe dukuduku lako maana mwingine anaweza akawa nae ana hisia za kimapenzi na wewe ila anahofia kuharibu uhusiano wenu wa awali ikiwa hutopendezwa na ombi lake.
 
hahaha lizy asante kwa uzi huu.
lkn wanaenda practice waende taratibu sio hadi unamuacha mwenzio na maswali mmh mwenzangu vp leo mbona umechangamka iv, coz hajakuzoea kukuona ivyo atapigwa na butwaa siku nzima anawaza tu, mwishoe anawenza anza kukufikiria vibaya buree.
 

Kama alishazoea kila siku hadi atake yeye....hapo atashindwa kukusoma labda msichana ajitoe fahamu na wine
 
Hehehehe wa kukufikiria vibaya hata ukicheka tu wakati ye anataka/alitegemea unune atakufikiria vibaya. Unajiachia tu taratibu, ikimsumbua aulize apate majibu!!
 
natamani hata nikutafute we mwenyewe,beautiful
 
Thanx ma dear! Ila, nitamjuaje aliye mwaminifu na mwenye mapenzi ya kweli? Mi nayaheshimu sana mapenzi, sipendi kuhangaika. He was my 2nd x, naogopa na naona aibu kuwa na list kubwa ya men ktk maisha yangu ya mapenzi

Hawana alama hao....akili kumkichwa tu!! Ukiona channel haisomi unachukua break kwanza, while unasaka hela ya king'amuzi!! Lol
 
sitaki 'good girl ' chumbani kwangu aisee,tena SITAKI HASWA!!kuwa good girl huko sebuleni tena napo kama kuna wageni au watoto.hakuna watu na tuko wenyewe siku nzima,aisee itakubidi tu uwe A VEEEERY BAD GIRL as mi siwezi kuwa mtoto mzuri katika mazingira kama hayo!!
 
Saafi Liz.. uzuri wa m/ke ni pamoja na mawazo mazuri aliyonayo, wewe u miongoni mwao (amebahatika uliyenaye)...uzi huu unafanya jf kuwa darasa lisiloisha...
 
Saafi Liz.. uzuri wa m/ke ni pamoja na mawazo mazuri aliyonayo, wewe u miongoni mwao (amebahatika uliyenaye)...uzi huu unafanya jf kuwa darasa lisiloisha...

Thanks Moria. . .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…