Bacteria(part 2)

Bacteria(part 2)

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Bacteria wanne(4) waliwekwa ndani ya kopo.kila baada ya dakika 1,kila bacteria hujigawa vipande viwili.Baada ya dakika 10,kopo lilijaa bacteria.Kopo lingine liliwekwa bacteria 8 kama kianzio.kopo hili litajaa kwa muda wa dakika ngapi?
 
Assuming hivyo vikopo ni of the same size..then baada ya dakika tisa, kopo hilo litajaa!
 
Back
Top Bottom