"Network too busy to play file at original quality"

"Network too busy to play file at original quality"

tamsana

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
3,842
Reaction score
8,266
Habarini wanajamvi.
Natumia PC aina ya Toshiba lakini nikiplay nyimbo yeyote kwa kutumia program yeyote na nikiingia YouTube huwa sound haitoki kwenye PC yangu. Nikiplay wimbo kwa kutumia media player nakutana na ujumbe "Network too busy to play file at original quality".
nimejaribu njia mbalimbali lakini nimeshindwa kutatua hili tatizo. Naomba msaada kwa anaeyejua namna ya kutatua tatizo hilo.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
 
Back
Top Bottom